Polisi wanaozunguka na magari hapa mjini wanamtisha nani..!?

Nipe appointment ya interview unataka nije nikunyonye lini, mm muda wote nipo tayari.
Utaanza kazi Jumatatu Kesho kutwa.

Chakula na sehemu ya kulala vyote ni juu yangu. Utapata pia posho ya mavazi na ya kujikimu.

Nitakutumia barua ya ajira leo usiku.
 
Utaanza kazi Jumatatu Kesho kutwa.

Chakula na sehemu ya kulala vyote ni juu yangu. Utapata pia posho ya mavazi na ya kujikimu.

Nitakutumia barua ya ajira leo usiku.
Sawa, naomba pesa ya kula ili nianze kuvuta nguvu. Namba yangu unayo tayari
 
Njagu wenyewe hawafiki 50000 nchi nzima.

Ni kwamba Wabongo hawajaamua tu kukinukisha, lakini wakiamua hao polisi ni wachache sana kufanya lolote.
 
 
Nchii hii haina amani na haijawahi kuwa na amani tangu uhuru.

Sema tu wananchi wa nchi hii wana uvumilivu wa hali ya juu ila swala la amani BIG NOO
Amani ipo kwa matajiri,wanasiasa na watoto wao wanaofaidi keki ya taifa hili ila sisi walala hoi hatujawahi kuiona hiyo amani.

Ndio maana tunaitafuta usiku na mchana
 
Uzuri waTz huwa tunaandamana online tu, mbwembwe nyingi ikifika siku ya tukio tupo busy mitandaoni kufuatilia yanayojiri. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Raia ni wengi kuliko polisi!

Na sisi ndio wajiri wa polisi

Magari wanayoendesha ni Kodi zetu.

Uniform wanazovaa ni kodi zetu.

Wakae watulie raia wafanye KAZI ya SSH must go!
 
Kwani maandamano yameisha anza? Siwalisema itakuwa jumatatu?
 
Baada ya kuleta majeshi mengi ya Policcm toka nchi nzima natamani Chadema waaihirishe maandamano kwa wiki mbili jamaa waendelee kusota barabarani jijini kwa siku kumi na nne zaidi.
Najua hakuna posho za kulala hotelini au guest houses .πŸ‘Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…