PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀 so ili mtu wa kawaida asafiri, anatakiwa kufata taratibu zipi? Hi nchi nayo ina siri nyingi sana yaani, khaa
Uwe na passport ya Tanzania

Sasa kama una passport ya nchi nyingine na unatumia kusafiria ina maana wewe sio raia wa Tanzania
Tanzania haijaruhusu uraia pacha
 
Sio vicheksho huu ujinga na sisi ndio tunaupalilia hakuna cha vichekesho
Kabisa. Huu nu ujinga wa hali ya juu. Ila mimi naona huenda kuna siri kubwa nyuma ya haya matukio. Yaani ni ya kijinga kiasi ambacho haingii akilini kama serikali hata kama imeishiwa namna gani haiwezi kufanya hivyo. Huenda kuna mtu anaingizwa kingi hapa ili iwe rahisi kumwondoa.
 
Mtu anasafiri kupitia Uwanja wa Ndege alafu mnasema anasafiri bila kufuata taratibu?🤣🤣🤣🤣

Aisee kweli hizi ni dalili za Utawala uliofika ukingoni.
 
Serikali na chama tawala, wamelinajisi jeshi la polisi mpaka kufikia point jeshi la polisi limekua TAKATAKA. 🚮🚮🚮🚮
 
Hahahahahaha, kusafiri bila kufuata sheria ndio kwa namna gani huko?..

Ukiwa na Passport, visa yauendako na tiketi ya ndege unahitaji nini kingine?.
Kama uendako wamekupa Visa, na imegongwa kwenye passport yako shida ni nini hapo?.
Kumuaga kizimkazi
 
Nasema tena hawa viongozi wa Chadema wanatembea na tiketi zao mfukoni majuzi niliandika,,wewe pangu pakavu endelea tu no election no reform ,ukipelekwa front line.
 
Very stupid ! Hivi hawa Polisi Nani kawaloga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…