Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Bongo hakuna uchunguzi wa hivi ila amini kama ingekuwa ni kwa wenzetu hili lingechimbwa mpaka ijulikane nani yupo nyuma ya hili tukio.

Zipo percentage nyiingi huenda ameuawa kwa kunyongwa!! Wamchunguze marehemu kama hajafirwa kabla ya kunyongwa!! Huenda wahuni wamechezea kinyeo hicho.

Why tukio litokee baada tu ya masanja kuwa amesafiri kwenda marekani?

Uchunguzi ungeanzia hapo !! Na pia huyo mwanamama anaendaiwa kuwa alikwenda na mke wa masanja moja kwa moja kwa marehemu, siku moja kabla ya kifo chake huenda anafahamu mengi kuhusu hili.

Sadly, bongo hakuna maafisa wa uchunguzi wa kufuatilia hili in deep.
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Mzee Muliro alitumia tu tafsida kusema walikuwa na mawasiliano badala ya mahusiano.

All in all (in baba levo's voice) tumeshajua kuwa mama mchekeshaji ni mama huruma tu. Hakuna mtakatifu ila Mungu tu.
 
Hadi hapa ni kweli masanja alikuwa anapigiwa. Mkeo anaendaje kwa mtu anayemtaka kumuambia hamtaki? Na kanisani wanakutana kwa nn wasielezane huko?
Tafsida tu hizo zimetumika ili kutokumuabisha the so called "mchungaji" whom i don't believe he is. Inawezekana huyo mwanamke alikwenda kumpa uroda wa mwisho marehemu kabla ya kifo chake.


Inawezekana pia ikawa ni murder case!! Watu wa forensic walitazame na hili !

Vp tukio linatokea mara baada tu ya masanja kusafiri kwenda marekani??

Hiyo safari ya mwisho ya mke wa masanja kwenda kwa mchepuko wake, ina mengi sana ya kutueleza!!

Natamani sana hili tukio lingetokea marekani!! Uchunguzi ungefanywa hata baada ya miaka 10 na majibu yangetoka .

Yaani tukio la ajabu linatokea na wahusika wanaachwa na simu zao bila ya kunyang'anywa kwenda kufanyiwa uchunguzi yakinifu kujua historia ya penzi lao mpaka yote yanatokea ?? Hili jeshi la polisi lijitathmini katika hili.
 
Mpaka "marehemu" anajinyonga,mkewe alikuwa wapi? Je wakati huyo "mama mchungaji" anafika nyumbani kwa mume wa mtu "marehemu", mke wa marehemu alikuwa wapi? Je alikuwa na taarifa kuwa mumewe anatoka kimapenzi na "mama mchungaji"?..
 
Inavyonekana haya mauaji yalipangwa kimafia kabisa.
Kwanza baada ya Masanja kugundua Katibu anatafuna matunda yake akambananisha Monica. Monica alipokiri wakamtafuta Mmama mmoja waende nae kwa Katibu ili ionekane wamefika kunuonya. Baadae ameenda Masanja na kumnyonga Katibu baada ya kuandika Ujumbe na kuutuma kwenye MitandaoView attachment 2376982
Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia. Vitu vya kwanza ambavyo vilipaswa kuchukuliwa kwa ajili ya uchunguzi ni simu za wahusika wote na kufuatiliwa kwa mawasiliano yao na watu wao wa karibu waliowahi kuwasiliana nao ndani ya miezi mitatu kabla ya hili tukio.

Polisi wangegundua mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Ulikuwaje uhusiano wa masanja na katibu wake ktk kipindi cha miezi 6 iliyopita?
 
Ali create kitu kinaitwa ''alibi''
Definition of alibi

the defense by an accused person of having been elsewhere at the time an alleged offense was committed. an excuse, especially to avoid blame. a person used as one's excuse:

Watu hawawezi kumlaumu masanja kuwa kashiriki ktk kumuua Katibu wake (mtu aliyekuwa akimgegeda mkewe) kwa kuwa wakati tukio linatokea yeye hakuwepo Tanzania, bali alikuwa Marekani katika Tour.

Kwa wachunguzi wanaelewa kuwa hii ni alibi. Na timu ya wapelelezi inatakiwa iingie kazini ili kutambua uhalisia wa hili tukio ili haki itendeke. Pia wangeufanyia postmortem huo mwili kujua kama Marinda yapo au wahuni waliyafokoa kabla ya kunyongwa!! Watu wa forensic wapo wapi?
 
eti akaenda na mmama mwenye heshima...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221005-050855_Instagram.jpg
 
Haya makanisa ya freemasonry, sio ajabu wametoa sadaka
kijana wa watu kulipa rejesho hayo mengine yasemwayo ni kujaribu kufukia fukia tu.
 
Kwa hiyo ni kweli mchizi alikuwa anamgonga mama mchungaji!? Aseeee maisha haya
Wajameni msipotoshe.Hakuna mahali imesemwa walikuwa na mahusiano bali Katibu alikuwa anamtongoza mama mch kupitia msg za simu Kumbuka yafuatayo:
1.Kwa vyovyote vile, namba ya simu ya mchungaji/ mama mchungaji haiwezi kuwa siri.Waumini wanazo na sio shida kuipata km unaitaka na huna. Na obviously katibu kwa cheo chake kwanini asiwe na namba ya mama mchungaji?
2.Mwanamke kutongozwa ni jambo endelevu hata awe mlokole au umri wa makamu,attempts za kutongozwa zipo huwa haziishi.Inahitajikq busara tu ya mwanamke kukataa na pia inahitajika busara ya wanaume walio jirani kujizuia kukutongoza lkn bahati mbaya wapo wanaume hawajiheshimu mfano ni huyo katibu.Yes wewe ni mwanaume nk lkn unapata wapi ujasiri wa kumtongoza mama mchungaji! Huoni kwamba unajiingiza kwenye tabu, unataka kuharibu huduma nk.Katibu hakufikiri vizuri kabla ya kutongoza
3.Ilikuwa sahihi mama mchungaji kumuonya katibu tena amefanya vizuri na kikristo kabisa kuchukua mtu mmoja pamoja naye kwenda wote ili kwa kinywa cha mashahidi hilo neno lithibitike.
Mama Mchungaji umefanya sehemu yako na Mungu akupe utulivu na familia kwa ujumla.Masanja ni wakati uwe imara kuliko siku zote.
 
Na huu ndio uhalisia. Pride imemmaliza huyo dogo. Angeamua tu kujiuzulu nafasi ya ukatibu, angeomba radhi mchungaji na kanisa na pengine angeenda kutafuta kanisa lingine alelewe kiroho.

Mke wa masanja alitumia hekima sana kwenda na mtu mwingine mwanamke.
Kulikuwa na ulazima wa mke wa pastor kwenda na mama mwingne kama jeshi lillivotangaza mkuu.Hakuwezi kumblock au kumripot
 
Kinacho takiwa hapa ni Masanja na Mke wake wahojiwe kwa kina juu ya sakata hili, maaana inaonekana limekubikwa na utata sana.
Kwann wahojiwe mkuu wakati jeshi la Polisi lilishatoa taarifa ya awali kuwa katibu inaonyesha alijinyonga mwenyewe na kashazikwa
 
Back
Top Bottom