ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Bongo hakuna uchunguzi wa hivi ila amini kama ingekuwa ni kwa wenzetu hili lingechimbwa mpaka ijulikane nani yupo nyuma ya hili tukio.Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Zipo percentage nyiingi huenda ameuawa kwa kunyongwa!! Wamchunguze marehemu kama hajafirwa kabla ya kunyongwa!! Huenda wahuni wamechezea kinyeo hicho.
Why tukio litokee baada tu ya masanja kuwa amesafiri kwenda marekani?
Uchunguzi ungeanzia hapo !! Na pia huyo mwanamama anaendaiwa kuwa alikwenda na mke wa masanja moja kwa moja kwa marehemu, siku moja kabla ya kifo chake huenda anafahamu mengi kuhusu hili.
Sadly, bongo hakuna maafisa wa uchunguzi wa kufuatilia hili in deep.