mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Yaani hivyo tu ??! 🙄 !Safi sana
Wafadhili wajue nchi yetu ina Amani na Demokrasia iliyotukuka 🐼
Sio kweli !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hivyo tu ??! 🙄 !Safi sana
Wafadhili wajue nchi yetu ina Amani na Demokrasia iliyotukuka 🐼
uadui ni maneno ya kichochezi na ubishi wa viongozi wa kisiasa 🐒Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Hapana mkuu. Yaani hapa nilipo ni mtu mzima naweza hata nikawa baba yako lakini sijawahi kuelewa haya mambo ,sijui lakini labda mie ni mjinga."Ukikua" utaelewa
Hii ni mbinu ya kula kings za wafadhili kwenye mchezo wa 'draft'.! Kipimo kizuri cha demokrasia ni kwenye uchaguzi!!Safi sana
Wafadhili wajue nchi yetu ina Amani na Demokrasia iliyotukuka 🐼
Umenena 100 % truth 🙏 !Hii ni mbinu ya kula kings za wafadhili kwenye mchezo wa 'draft'.! Kipimo kizuri cha demokrasia ni kwenye uchaguzi!!
Safi mnawaongezea CCM pesa kwa ajili ya kuendelea kutawala!Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Watu wanadhani " Maridhiano " ni Ukasuku 😂😂😂Umenena 100 % truth 🙏 !
Ukiona hivyo jua kua upunzani sasa hauna maana tena... hauna impact..Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Tumetokaa Mbaliii Tumemfataa...Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Samahani lakini una umri gani?Huwa sielewi motive inayokuja baada ya maandamano.
Yaani unazunguuuka mitaani unapiga keleleee huku umebeba bango halafu unamaliza unarudi nyumbani kwako kulala.
Ni kama mtu apite mitaani awe anasema sina helaaa sina helaaa halafu arudi nyumbani kwake akalale bila kufanya juhudi ya kuitafuta hela.(kama nitamkwaza mtu samahani)
Siasa na mpira ni vitu vya kijinga sana. Mtu unakaa unaangalia watu wanakimbiza kitufe muda woote na kitufe kikiingia golini upande mtu anaoushangilia eti anakosa amani, unakuta mwingine mpaka anakufa. Yaani kitufe kupita katikati ya Milingoti miwili wewe unaathirika emotionally are you SIIIIIIRIIIIIAZ
Chadema ni Chama cha woteMwee☹️
Usitazame saana suala la umri wangu mkuu coz naweza hata nikawa baba yako(ki umri), ila tujaribu kutumia Common sense hebu jaribu kuzama deep kimawazo. Usisikilize makelele ya tv sijui redio wala makelele ya wanasiasa(vyama vyoote kutia ndani ccm) jaribu kuji factory reset halafu uyatazame hayo mambo ukiwa nje yake. Ukiangalia sana utaona ni maujinga fulani tu. Usikubali kuendeshwa na hisiaSamahani lakini una umri gani?
ccm wame-surender, chadema inazidi kuimarika watanzania wanaimani naoSafi sana
Wafadhili wajue nchi yetu ina Amani na Demokrasia iliyotukuka 🐼
"Ukikua" utaelewa
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
Kwa maana hiyo Samia apewe sifa zake kwa kukuza demokrasia
Yaani ni sawa na paper Tiger ??!Ukiona hivyo jua kua upunzani sasa hauna maana tena... hauna impact..