Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Waandamanaji namba moja nawaona kwa mbele, Safi sana Polisi😀😀😀Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!
View attachment 2971709
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.