Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

"Polisi waanza kuelewa" una hakika na hiyo statement yako?

Hao polisi wanacheza ngoma ya mtawala, hakuna walichoelewa hapo, akija mtawala tofauti nae atawachezesha ngoma yake tofauti nao wataicheza kama kawaida yao.

Ukitaka uwe na hakika kama wameelewa hilo somo, lazima itungwe sheria itakayowapa uhuru wa kutimiza majukumu yao bila hofu ya kutishwa na watawala wa CCM.
 
Tunamshukuru Mama
 
Una pointi
 
..maandamano na vyama vingi ni mambo yaliyopatikana wakati wa Rais Ali Hassan Mwinyi.

..Rais Samia aruhusu Tume Huru,Katiba Mpya, Tume ya Ukweli na Maridhiano, ndipo apewe maua yake.
Tunamuombea Mungu ampe hekima hii
 
CHADEMA HAWAJITAMBUI NA HAKUNA UPINZANI WA AINA HIYO DUNIANI HAO WANAPOTEZA MUDA WAO TU
 
ili maandamano yanoge lazima kuwe na vita kat ya waandamanaji na mapongo hii maandamano ya kusindikizwa na polis inakua imepoa sana
 
Hapa mbowe yupo sehemu the dons pale, anakunywa Serengeti lite ya baridiii, jana kashaingiziwa mzigo na wabelgiji,
Unaonaje ukiingiziwq na wewe! Si utakwenda kuenjoy Pepsi baridiiiii! Tafuta hela kijana acha wivu.
 
you take life too serious bro, easy up kidogo ts just a temporary thing
Sawa nenda kaanzishe vurugu wewe ya muda mrfu sisi tunafurahia hata hiyo amani ya muda mfupi iliyowashinda wengine.

Dr Samia is a hero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…