Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

Waandamanaji namba moja nawaona kwa mbele, Safi sana PolisiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Polisi wakifanya jambo jema Wapongezwe, wakifanya baya walaumiwe

Walichokifanya katika Picha ni jambo jema sana, ndio utaratibu WAPONGEZWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…