Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pamoja na katiba mbovu, Tume ya uchaguzi ya mchongo mengine ni.

1. Mgao wa kutisha wa umeme bila majibu

2. Gharama za Maisha kupanda mara 200.

3. Huduma mbovu za kijamii zimedumaa

4. Ubadhilifu wa Mali za umma umevuka mipaka
 
Hata ukiandamana umeme bado utaendelea kukatika.

WENYEWE WAMESHASEMA KUWA MAJI YANAGOMA KUINGIA KWENYE MABWAWA YA KUZALISHA UMEME.



KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Na kufanya usafi siku ya kesho tumesitisha, endeleeni ila kwa amani.
 
Kazi yangu kubwa kutafuta karatasi ya dhamana kwenda nayo centro in case Kiki happen
 
Big up madam president samia
 
Huu ni mtego, anatafutwa mtu hapo.
Ilipaswa police wakatae ndo ingenoga we ushaona wapi Maandamano bila kauli za kukera aah waapi ilo litakua pambio la kwaya ya CCM sasa.
 
Kuna masadist hawafurahii kinachofanyika zama hizi za mama Samia furaha yao ni zama zile za andamaneni muone iiiiiiiiii zingeendelea.Kweli nimeamini hawa polisi wanaangalia mwelekeo wa Rais aliye madarakani wala si sheria inasemaje.Hongera sana mh Samia kwa kuja na mwelekeo mpya katika uendeshaji wa demokrasia ya vyama vingi hapa nchini.Licha ya kwamba kuna watu hawapendi mwenendo huu unaoenda nao hasa katika uimarishaji wa demokrasia ya vyama vingi
 
Hii sasa ndio demokrasia lakini hapo kwenye uvujivu wa amani naona kama polisi wamewatega CHADEMA kwani hilo sio jukumu lao bali ni juikumu la polisi.
 
Ni game ya kuviziana ngoja tuone baada ya dakika 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…