Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili jambo tumeliisema miaka yote , Baada ya Dunia kuingilia Kati hatimaye Maandamano ya Chadema yako hewani , Polisi wamelazimishwa kuyalinda .

Sasa Mamluki wa ccm (sitawataja ili kuokoa muda) eti leo wanazungumzia Maandamano kwa kigugumizi , Wajinga sana !

Narudia tena Bila Polisi , ccm ni wepesi kuliko Pamba

Screenshot_2024-01-19-16-28-19-1.png
Screenshot_2024-01-18-22-15-01-1.png
 
Back
Top Bottom