GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
NI VYEMA SHAURI HILI LIKAHAIRISHWA NA KUJA KUSIKILIZWA TENA FEBRUARY 2026,ILI KUPISHA MASUALA MENGINE MUHIMU YA UJENZI WA TAIFA LETU.
 
Serikali inawatumia polisi kama midoli ....polisi wa nchi wanaishi maisha magumu Sana ya kutumiwa na wanasiasa
 
MH.HAKIMU TUNAOMBA SUALA LA MAGOMVI YA WANACHADEMA WA BARA NA VISIWANI KUHUSU MALI ZAO,LIPELEKWE MBELE NA ZUIO LIBAKIE PALEPALE, WATANZANIA WANA MENGI YA KUFANYA KWA WAKATI HUU,UKIZINGATIWA UCHAGUZI UU USONI!
Watanzania gani wenye mengi ya kufanya?

Akina Mwijaku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani wanaoruhusiwa kuingia hapo mahakamani ni chadema tu?
Kwanini polisi wavae kiraia na waingie kukaa benchi ambalo hawakupangiwa kukaa maana wanaokaa benchi hilo wote umesikia hapo wanajuana sasa hizo sura mpya zimetoka wapi?

Make it make sense.
 
Yaani hawajawahi kuwa na akili hata ya kunyea mavi chooni... Useless idiots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…