GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nguo za polisi za khaki ni za kiraia kama wao wenyewe walivyo ni raia tu. Khaki pia ni sare ya Chadema. Nguo za kijeshi zina tofauti hata kitambaa chake hakiuzwi madukani
Polisi ni raia kama walivyo watu wengine wote!
 
Ni mara mia aibu ya siku moja ya kumwachia Lissu. Kuliko hizi aibu za kila siku itajapwo kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…