bado wana maluelue ya magufuli kwenye medula oblangata zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado wana maluelue ya magufuli kwenye medula oblangata zao
tutamuona tu. muda ni mwalimu lakini angalau sasa hata kauli zake ni tofauti na yule mwingine.Hili liko wazi! Huyu mama anaongea kisiasa tu hamna jipya.. sema watz ni wasahaurifu sana.. nikuwaacha kwanza watakuja kujionea mbele ya safari.
Hata covid baada ya kufa ikaacha kuua watanzania. jamaa alikuwa na GunduKiukweli tumepumua,vifo, stress vimepungua, natumai hata uhitaji dawa kuweka BP na sukari sawa umepungua,Asante Mungu Baba kwa muujiza na zawadi ya Mama.Hili la Karatu asubuhi mapema watajirudi, tunashida na majambazi na vibaka sio democrasia.
Sijui Chadema wanawatoaga wapi hawa vilaza.Wamevamiwa na Tanpol
Tanpol ndio nini ????
Kwenye fomu za uchaguzi wagombea wetu walikuwa wanakatwa na Tume. You can now see why. Sehemu za kujaza jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE!
Hatujifunzi
Tulieni hivyo hivyo.Nadhani sasa mama anatakiwa atoe japo kauli ya kiuongozi ili hao wafahamu sasa ni awamu nyingine!!kwa sasa siasa zile za kishamba hazina nafasi!!kwani anavyo yakalia kimya tu, sio picha nzuri, wakati wananchi wana imani naye kuonyesha mwanga mpya!!
Acha akili za kijinga, mama ni heshima anayopewa sio lazima akuzaeEti mama! Kwani amekuzaa acheni kujipendekeza
Kabla mwaka haujaisha utatamani kufuta hii comment yako.Tuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa.
Yule mzee alikua katili, ilikua hazipiti siku mbili bila mwanachama wa upinzani kung'olewa meno, kuswekwa ndani, kuvamiwa. Wafanyabiashara nao hazipiti siku tatu kuchezea kesi za uhujumu uchumi na kukwepa kodi.
Ilikua ndani ya siku 5 taifa linapokea mpaka Breaking News 400, hujui uanze kusoma breaking news ipi na uache ipi. Roho zilikua juu juu kila dakika. Hata uamke saa 8 usiku unakutana na breaking news.
Mungu asante kwa hilo. Taifa limepumua.
Sasaivi nyumbu wanajipendekeza kwanza hata wakishikwa makalius wana chekachekatu kama mazombi.Acheni ujinga!!
Magu kafa yupo mama sasa Mzee anaingiaje hapo!
Au Magu huko kaburini aliko anawaagiza hao polisi
Tumia akili mtoa mada, kama mnashindwa au mnaogopa kumsema mama elewekeni aisee
Wewe nae mjinga tu,unadhani hutakufa?Tuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa.
Yule mzee alikua katili, ilikua hazipiti siku mbili bila mwanachama wa upinzani kung'olewa meno, kuswekwa ndani, kuvamiwa na kutekwa. Wafanyabiashara nao hazipiti siku tatu kuchezea kesi za uhujumu uchumi na kukwepa kodi.
Ilikua ndani ya siku 5 taifa linapokea mpaka Breaking News 400, hujui uanze kusoma breaking news ipi na uache ipi. Roho zilikua juu juu kila dakika. Hata uamke saa 8 usiku unakutana na breaking news.
Mungu asante kwa hilo. Taifa limepumua.
Acha kumzeesha wewe, mamazenu simmewaacha vijijini huko.Acha akili za kijinga, mama ni heshima anayopewa sio lazima akuzae
Hao nivichwa panzi, watakuambia namba moja wana taka katiba mpya, wamesha sahau wameambiwa wasahau.Nyie Chadema hebu andikeni list yenu yote mnayotaka mama afanye muiweke hapa tuijadili maana kila kitu nyie mnataka mama afanye mtakavyo.Kila mtu amekuwa mshauri wa mama.Kila jukwaa mnamshauri mama hata MMU mnamshauri awe na mume aina gani.
Tupe orodha ya waliong'olewa meno, na waliotekwa ili tuwe na uhakika wa maelezo yako.Tuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa.
Yule mzee alikua katili, ilikua hazipiti siku mbili bila mwanachama wa upinzani kung'olewa meno, kuswekwa ndani, kuvamiwa na kutekwa. Wafanyabiashara nao hazipiti siku tatu kuchezea kesi za uhujumu uchumi na kukwepa kodi.
Ilikua ndani ya siku 5 taifa linapokea mpaka Breaking News 400, hujui uanze kusoma breaking news ipi na uache ipi. Roho zilikua juu juu kila dakika. Hata uamke saa 8 usiku unakutana na breaking news.
Mungu asante kwa hilo. Taifa limepumua.
HahahahNyie Chadema hebu andikeni list yenu yote mnayotaka mama afanye muiweke hapa tuijadili maana kila kitu nyie mnataka mama afanye mtakavyo.Kila mtu amekuwa mshauri wa mama.Kila jukwaa mnamshauri mama hata MMU mnamshauri awe na mume aina gani.
Huu ni uonevu mkubwa. imhotep
Alafu unajiona umekosooowa! Hiyo ni Twitter, tafuta @tanpol kwenye Twitter ujifunze! Mfano upo hapo @john_pambalu,Wamevamiwa na Tanpol
Tanpol ndio nini ????
Kwenye fomu za uchaguzi wagombea wetu walikuwa wanakatwa na Tume. You can now see why. Sehemu za kujaza jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE!
Hatujifunzi.
Kuna taasisi inayotumika nchi hii na wana siasa kama polisi?ni Rc wa Geita tu ndio aliamua kusimamia sheria, waulize wana siasa wa geita, MWAIBAMBE ni nani?nipe mrejesho baada ya hao viongozi wa CDM, walipogoma kimetokea nini?awamu ya maguvu imeisha!!Kwani wewe ni akili ya mama kama unataka u raisi si ugombee yaani kila kitu mama polisi wafanye yao eti mama sema Acheni majungu