battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Hivi ! Polisui wametowa Sababu za kuzuia maandalizi ya Kikao hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ! Polisui wametowa Sababu za kuzuia maandalizi ya Kikao hicho?
Mikutano ya siasa imezinduliwa lini?? Nawauliza chadema.Nadhani sasa mama anatakiwa atoe japo kauli ya kiuongozi ili hao wafahamu sasa ni awamu nyingine!!kwa sasa siasa zile za kishamba hazina nafasi!!kwani anavyo yakalia kimya tu, sio picha nzuri, wakati wananchi wana imani naye kuonyesha mwanga mpya!!
Hakuna kitu kama hicho.TanPol ni kifupi cha Tanzanian Police (Jeshi La Polisi Tanzania).
Kwani ya ndani ilizuiliwa lini?tuanzie hapo kwanza,Mikutano ya siasa imezinduliwa lini?? Nawauliza chadema.
Wanajadili niniKwani ya ndani ilizuiliwa lini?tuanzie hapo kwanza,
POLE,Wamevamiwa na Tanpol
Tanpol ndio nini?..
Huu ni uonevu mkubwa. imhotep
Kwa ilizuiliwa kwa sheria ipi? Katika bunge la awamu ya tano, swali hilo aliwahi kuulizwa PM Majaliwa, na aliyekuwa KUB Mbowe. Hakutoa hicho kifungu cha sheria kwa vile hakipo.Mikutano ya siasa imezinduliwa lini?? Nawauliza chadema.
Jamaa alikuwa ni zaidi ya Shetani! Chaajabu mashetani wadogo kina Ndugai na wengineo bado wanadhani na kuamini Shetani Mkuu atafufuka.Tuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa...
Huko kwenye kikundi chako sheria na katiba vinafuatwa??Kwa ilizuiliwa kwa sheria ipi? Katika bunge la awamu ya tano, swali hilo aliwahi kuulizwa PM Majaliwa, na aliyekuwa KUB Mbowe. Hakutoa hicho kifungu cha sheria kwa vile hakipo.
Acha ubishi wewe, Tanpol ndio jina wanalotumia kwenye mitandao ya kijamii kama twitter . FB na instagramHakuna kitu kama hicho.
Hakuna kitu kinachoitwa Tanzanian Police...
Shida ya Police ni ufinyu wa uelewa,
Mimba akiyokuachia hayati inakutesa sanaTuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa...
Huku mambo swafi kabisa. Mnaendeleaje na mipango ya kumfuata Mwendazake huko kwa malaika?Huko kwenye kikundi chako sheria na katiba vinafuatwa??
Ni ujinga kuendeleza ujinga.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA Kina hadhi kama kilivyo CCM, Kina usajili wa kudumu, kipo kisheria, suala la mikutano kufanyika sio ombi la mtu yeyote, Maana kilipata Usajili wa kazi gani ikiwa mikutano hairuhusiwi.Mikutano ya siasa imezinduliwa lini?? Nawauliza chadema.
Hujaachaga ung*se tu mkuu??? Licha ya kukuchangia hela kibao kwenye ma group ya whatsapp mara mbili ili uende ukapigwe bomba muhimbili. Utapata cancer ya utumbo pamoja na bawasiri.Mimba akiyokuachia hayati inakutesa sana