Polisi wavamia CHADEMA Karatu ni muendelezo wa siasa zilizopitwa na wakati

Hili liko wazi! Huyu mama anaongea kisiasa tu hamna jipya.. sema watz ni wasahaurifu sana.. nikuwaacha kwanza watakuja kujionea mbele ya safari.
tutamuona tu. muda ni mwalimu lakini angalau sasa hata kauli zake ni tofauti na yule mwingine.
 
Kiukweli tumepumua,vifo, stress vimepungua, natumai hata uhitaji dawa kuweka BP na sukari sawa umepungua,Asante Mungu Baba kwa muujiza na zawadi ya Mama.Hili la Karatu asubuhi mapema watajirudi, tunashida na majambazi na vibaka sio democrasia.
Hata covid baada ya kufa ikaacha kuua watanzania. jamaa alikuwa na Gundu
 
Wamevamiwa na Tanpol

Tanpol ndio nini ????

Kwenye fomu za uchaguzi wagombea wetu walikuwa wanakatwa na Tume. You can now see why. Sehemu za kujaza jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE!

Hatujifunzi
Sijui Chadema wanawatoaga wapi hawa vilaza.
 
Nadhani sasa mama anatakiwa atoe japo kauli ya kiuongozi ili hao wafahamu sasa ni awamu nyingine!!kwa sasa siasa zile za kishamba hazina nafasi!!kwani anavyo yakalia kimya tu, sio picha nzuri, wakati wananchi wana imani naye kuonyesha mwanga mpya!!
Tulieni hivyo hivyo.
 
Kabla mwaka haujaisha utatamani kufuta hii comment yako.
 
Acheni ujinga!!

Magu kafa yupo mama sasa Mzee anaingiaje hapo!

Au Magu huko kaburini aliko anawaagiza hao polisi

Tumia akili mtoa mada, kama mnashindwa au mnaogopa kumsema mama elewekeni aisee
Sasaivi nyumbu wanajipendekeza kwanza hata wakishikwa makalius wana chekachekatu kama mazombi.
 
Wewe nae mjinga tu,unadhani hutakufa?
 
Acha akili za kijinga, mama ni heshima anayopewa sio lazima akuzae
Acha kumzeesha wewe, mamazenu simmewaacha vijijini huko.
Wengine mizee mizima mnakazana kuita mama, mama, mama, jinga sana.
 
Nyie Chadema hebu andikeni list yenu yote mnayotaka mama afanye muiweke hapa tuijadili maana kila kitu nyie mnataka mama afanye mtakavyo.Kila mtu amekuwa mshauri wa mama.Kila jukwaa mnamshauri mama hata MMU mnamshauri awe na mume aina gani.
Hao nivichwa panzi, watakuambia namba moja wana taka katiba mpya, wamesha sahau wameambiwa wasahau.
 
Ila mambo mengine inapaswa kwenda kortini haraka kupata tafsiri sahihi ya sheria na kanuni then Mahakama itoe ruling badala ya “kuufyata” kwa kuwa tu marehemu John Pombe alitoa maagizo akiwa kwenye jukwaa la kisiasa
 
Tupe orodha ya waliong'olewa meno, na waliotekwa ili tuwe na uhakika wa maelezo yako.
 
Nyie Chadema hebu andikeni list yenu yote mnayotaka mama afanye muiweke hapa tuijadili maana kila kitu nyie mnataka mama afanye mtakavyo.Kila mtu amekuwa mshauri wa mama.Kila jukwaa mnamshauri mama hata MMU mnamshauri awe na mume aina gani.
Hahahah

Ova
 
Naona hawa mapolisi bado wna ile hangover ya mwendazake.
Huyu OCD anatakiwa kuwajibishwa haraka sana.
 
Wamevamiwa na Tanpol

Tanpol ndio nini ????

Kwenye fomu za uchaguzi wagombea wetu walikuwa wanakatwa na Tume. You can now see why. Sehemu za kujaza jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE!

Hatujifunzi.
Alafu unajiona umekosooowa! Hiyo ni Twitter, tafuta @tanpol kwenye Twitter ujifunze! Mfano upo hapo @john_pambalu,
Alafu mambo msiyo yajua msiyadandie dandie, Kwani ungeuliza swali ujinga wako ungeumia?!
 
Kwani wewe ni akili ya mama kama unataka u raisi si ugombee yaani kila kitu mama polisi wafanye yao eti mama sema Acheni majungu
Kuna taasisi inayotumika nchi hii na wana siasa kama polisi?ni Rc wa Geita tu ndio aliamua kusimamia sheria, waulize wana siasa wa geita, MWAIBAMBE ni nani?nipe mrejesho baada ya hao viongozi wa CDM, walipogoma kimetokea nini?awamu ya maguvu imeisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…