Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kule ninyi ni kama jeshini tu.Kila kitu ngazi kwa ngazi(itifaki?).Hongereni sana!Sisi Catholic tupo bize na 🐖 🐷 🐖 tuna wazoom tu
Kule ninyi ni kama jeshini tu.Kila kitu ngazi kwa ngazi(itifaki?).Hongereni sana!Sisi Catholic tupo bize na 🐖 🐷 🐖 tuna wazoom tu
Kwamba angeswali hapo nini kingetokea?Hao waliofukuzwa wanaoinga huyo mama; Mufti kapewa maagizo awatimue. Hao waliofukuzwa ni haki kwanza amani badae. Mufti anataka amani kwanza haki badae.
Ngoja wakiongea utasikia.
Quran inasemajeHuyu Sheikh Walid zaman kuna maneno ya kimfumo dume aliyasema. Inawezekana ni mnyanyasaji wanawake, maana hataki hata viongozi wanawake
Simuhukumu ila kuna watu huwa wanajua kuigiza hadi unawapenda.Ukweli halisi wanao wenyewe wawili, sheikh na bibie.Sisi wasindikizaji tu.Mola aturehemu!Yule dada(mzazi mwenzake) ukimsikiliza anaonekana ni mkweli, haonekani kama amepangwa.
Baada GwajiBoy sasa ya Sheikh Walid kuzingirwa na vyombo vya dola ya serikali ya CCM baada ya tawi la CCM Bakwata kutoa tamko kuhusu amaniAskari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh w
Chanzo: Mwananchi
Maislamu kobaz yanatumika kama kondom Kraang Tanganian Al-mukheef Kubwa la Maadui adriz de mbusiiYaache yang'oane meno. Si yamekubali yenyewe kutumika kama kondomu?
WaaapiiiiIla pisi ya Walid ni ❤️🔥❤️🔥
Huyo shekhe Kawambwa ni Chadema, au?Hata hivyo, Swala ya Ijumaa ilianza saa 6:30 mchana na Sheikh Walid hakuwa miongoni mwa walioongoza swala wala kuhutubia na hakuwepo.
loose Nut de Mbusii Hutaki au😁Waaapiiii
BAKWATA ni tawi la CCM kwahiyo wanahisi jamaa atamwaga ugaliAskari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa.
Chanzo: Mwananchi
Inawezekana ila ukifariki BAKWATA wanaluja na kuupora msikiti huoHivi haiwezekani mtu kufungua na kusajili Msikiti wake?
Wanataka kumnyang'anya na haki yake ya kuabudu/ibada.Kwani huyu sheikh anakosa lolote mbona mapolisi tena siku ya ibada.Mtu kashanyanganywa wadhifa wake lakini bado tena wanataka kumzonga.Dah bongo bahati mbaya
Mkuu, hoja yako ni ya msingi sana na inagusia jambo linalowakera wengi leo.
Kwa sisi tulio weamani" na "utengenezaji wa hofu." Kupeleka FFU na silaha nzito kumeleta picha mbaya kuwa serikali inaingilia migogoro ya kiutawala ya dini kwa kutumia mabavu. Polisi wanapaswa kujifunza kurudi kwenye mbinu za kidiplomasia na kuacha misikiti na makanisa yatatue changamoto zao kwa amani na ustaraabu.
Sawa ni kweli kabisa ila wahuni wameangalia wakaona ile ni fursa ya kumng'oa chap..Yule dada(mzazi mwenzake) ukimsikiliza anaonekana ni mkweli, haonekani kama amepangwa.
Si yeye asiyewataka viongozi wanawake, mfumo wa dini yake ndio unaelekeza hivyo.Huyu Sheikh Walid zaman kuna maneno ya kimfumo dume aliyasema. Inawezekana ni mnyanyasaji wanawake, maana hataki hata viongozi wanawake
Novela, wananchi hawawezi kuhadaika na utoto wa aina hiyo.Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh w
Chanzo: Mwananchi
Hata kumuuaWanataka kumnyang'anya na haki yake ya kuabudu/ibada.
Ukiwa kiongozi wa dini unatakiwa unyooke kama rula ,anafanya ufirahuni akitarajia WAHUNI wenzake wamtetee.kwa tuhuma za ukiukaji wa maadili.