Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Another GwajimaAskari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa D
Another GwajimaAskari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa D
ni muhimu sana Sheikh Walid akawa muungwana tu kuliko kupambana kwenye jambo ambalo halita mpa ushindi bali kuharibu haiba na future yake huko mbeleni.Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI.
POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana idadi ya waumini iliyokuwepo Leo ilikua kubwa sana kuliko kawaida, hali iliyo pelekea wengine kuswalia nje.
Watu wanaendelea kusubiri tamko lolote la sheikh WALIDI kuhusu kusimamishwa kwake.
Kanena nini maana wengine hatujayasikiawaislam walimkalia kimya na wengine kumpongeza pale alivyokuwa anamsakama Kitima sasa amewageukia wao.
Namsubiri shehe tapeli Mwaipopo atie neno... wacha wazingirwe si wanajifanya wao ndio wenye nchi na wala wasilalamike.Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa.
Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti huo kwenda kufanya ibada na kumwona kiongozi huyo wa kidini aliyesimamishwa siku nne zilizopita.
Sheikh Kawambwa, alisimamishwa uongozi na Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), pamoja na masheikh wengine wawili wa Mkoa wa Singida na Kigoma, kwa tuhuma za ukiukaji wa maadili.
Tofauti na ljumaa nyingine zisizo ndani ya Mwezi wa Ramadhan, Ibada ya leo ilikuwa na idadi kubwa ya waumini kiasi cha wengine kukosa nafasi ndani na wakaswali nje ya jengo.
Soma: Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi
Pia, kulikuwepo minong'ono kutoka kwa baadhi ya waumini wakisema wanasubiri kumwona Sheikh Walid kwenye mimbari akitoa neno lolote baada ya hatua zilizochukuliwa dhidi yake.
Hata hivyo, Swala ya Ijumaa ilianza saa 6:30 mchana na Sheikh Walid hakuwa miongoni mwa walioongoza swala wala kuhutubia na hakuwepo.
Chanzo: Mwananchi
Naona anasoma script tofuati na wale wa makao makuu Kinondoni.Sasa hata sisi wengine tusiofuatilia mambo ya dini hili jambo limeanza kutugusa.
Iweje Msikiti aliopanga kuswali mtu huyu uzingirwe na Polisi, ili iweje na kwanini?
Shida ni Mwanamke tu au kuna lingine?
Walisema hayatuhusu.Waislamu wanakubalije sehemu takatifu kutiwa najisi na askari wa CCM?? we told them
Walitaka kumteka, BAKWATA ni Taasisi ya ccm iliyoanzishwa na Julius Nyerere na Paulo BomaniKwanza naombeni kujua, hii issue imekaa kidini au ni ya kisiasa? kama ni bakwata wamefanya uamuzi msikitini mitutu imetoka wapi? Shekhe naye ni mhaini, gaidi, mwandamanaji, jambazi au inakuwaje yaani issue ya dini mitutu inahusika?
Issue sio dini kumbe, hata sie wa pembeni tunaona issue imekaliwa kisiasa hii, kama kweli BAKWATA wameamua kwa miongozo yao ya kidini mitutu inafanya nini msikitini?Kwani huyu sheikh anakosa lolote mbona mapolisi tena siku ya ibada.Mtu kashanyanganywa wadhifa wake lakini bado tena wanataka kumzonga.Dah bongo bahati mbaya
BAKWATA ni Jumuiya ya ccmIssue sio dini kumbe, hata sie wa pembeni tunaona issue imekaliwa kisiasa hii, kama kweli BAKWATA wameamua kwa miongozo yao ya kidini mitutu inafanya nini msikitini?
Ni sawa, na kwanini serikali iingilie kwa mtutu issue ya kidini? Kama kweli BAKWATA wamemtengua kwa miongozo yao, jeshi linataka kumteka kwa ajili ya yule binti tu? Na yule binti kwani wa kwanza kuzaa na kutelekezwa mpaka sheikh atekwe kwa mtutu? Aaghhr wasituone wajinga sie tusijue hata kusoma pichaWalitaka kumteka
Ama kwa hakikaBAKWATA ni Jumuiya ya ccm
Wallid anaogopwa na ccmNi sawa, na kwanini serikali iingilie kwa mtutu issue ya kidini? Kama kweli BAKWATA wamemtengua kwa miongozo yao, jeshi linataka kumteka kwa ajili ya yule binti tu? Na yule binti kwani wa kwanza kuzaa na kutelekezwa mpaka sheikh atekwe kwa mtutu? Aaghhr wasituone wajinga sie tusijue hata kusoma picha
WatamuuaHuyu sheikh hataki unafiki kamnanga Shehe mkuu wa bakwata kuongelea upumbavu wa suchak msikitini
Naona umesahau kumeza dawa leoMaislamu kobaz yanatumika kama kondom Kraang Tanganian Al-mukheef Kubwa la Maadui adriz de mbusii
NYAMBAFF