Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

Hao waliofukuzwa wanaoinga huyo mama; Mufti kapewa maagizo awatimue. Hao waliofukuzwa ni haki kwanza amani badae. Mufti anataka amani kwanza haki badae.
Ngoja wakiongea utasikia.
Kwamba angeswali hapo nini kingetokea?
 
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh w


Chanzo: Mwananchi
Baada GwajiBoy sasa ya Sheikh Walid kuzingirwa na vyombo vya dola ya serikali ya CCM baada ya tawi la CCM Bakwata kutoa tamko kuhusu amani
 
Pumba
 
Yule dada(mzazi mwenzake) ukimsikiliza anaonekana ni mkweli, haonekani kama amepangwa.
Sawa ni kweli kabisa ila wahuni wameangalia wakaona ile ni fursa ya kumng'oa chap..
Hawa ndugu zetu wafitini sana na wanajua fitna balaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…