Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI.


POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana idadi ya waumini iliyokuwepo Leo ilikua kubwa sana kuliko kawaida, hali iliyo pelekea wengine kuswalia nje.

Watu wanaendelea kusubiri tamko lolote la sheikh WALIDI kuhusu kusimamishwa kwake.
 

Attachments

  • Screenshot_20260717-203347.jpg
    47.7 KB · Views: 8
ni muhimu sana Sheikh Walid akawa muungwana tu kuliko kupambana kwenye jambo ambalo halita mpa ushindi bali kuharibu haiba na future yake huko mbeleni.

Allah amjaalie moyo wa ustahimilivu na subra, na amfanyie wepesi ili apite kwenye jaribu hili bila shari zaidi 🐒
 
Namsubiri shehe tapeli Mwaipopo atie neno... wacha wazingirwe si wanajifanya wao ndio wenye nchi na wala wasilalamike.
 
Sasa hata sisi wengine tusiofuatilia mambo ya dini hili jambo limeanza kutugusa.

Iweje Msikiti aliopanga kuswali mtu huyu uzingirwe na Polisi, ili iweje na kwanini?

Shida ni Mwanamke tu au kuna lingine?
Naona anasoma script tofuati na wale wa makao makuu Kinondoni.
 
Kwanza naombeni kujua, hii issue imekaa kidini au ni ya kisiasa? kama ni bakwata wamefanya uamuzi msikitini mitutu imetoka wapi? Shekhe naye ni mhaini, gaidi, mwandamanaji, jambazi au inakuwaje yaani issue ya dini mitutu inahusika?
 
Kwanza naombeni kujua, hii issue imekaa kidini au ni ya kisiasa? kama ni bakwata wamefanya uamuzi msikitini mitutu imetoka wapi? Shekhe naye ni mhaini, gaidi, mwandamanaji, jambazi au inakuwaje yaani issue ya dini mitutu inahusika?
Walitaka kumteka, BAKWATA ni Taasisi ya ccm iliyoanzishwa na Julius Nyerere na Paulo Bomani
 
Kwani huyu sheikh anakosa lolote mbona mapolisi tena siku ya ibada.Mtu kashanyanganywa wadhifa wake lakini bado tena wanataka kumzonga.Dah bongo bahati mbaya
Issue sio dini kumbe, hata sie wa pembeni tunaona issue imekaliwa kisiasa hii, kama kweli BAKWATA wameamua kwa miongozo yao ya kidini mitutu inafanya nini msikitini?
 
Issue sio dini kumbe, hata sie wa pembeni tunaona issue imekaliwa kisiasa hii, kama kweli BAKWATA wameamua kwa miongozo yao ya kidini mitutu inafanya nini msikitini?
BAKWATA ni Jumuiya ya ccm
 
Walitaka kumteka
Ni sawa, na kwanini serikali iingilie kwa mtutu issue ya kidini? Kama kweli BAKWATA wamemtengua kwa miongozo yao, jeshi linataka kumteka kwa ajili ya yule binti tu? Na yule binti kwani wa kwanza kuzaa na kutelekezwa mpaka sheikh atekwe kwa mtutu? Aaghhr wasituone wajinga sie tusijue hata kusoma picha
 
Wallid anaogopwa na ccm
 
Huyu sheikh hataki unafiki kamnanga Shehe mkuu wa bakwata kuongelea upumbavu wa suchak msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…