Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
2,231
Reaction score
3,737
Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.

Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo zinafanywa na raia wema lakini hii tabia inaoneka ilishashika mizizi.

Nasikitika kusema sisi raia ndiyo walezi wa Hawa wasaliti wa jeshi la heshima la polisi Tanzania.
 
1753006383973.jpeg
 
Haya ndio mambo ya viongozi kukemea mpaka Bungeni

Ila unakuta wao ndio wa kwanza kutoa na kupokea kwenye miradi yao.

Kama kiongozi Mkuu atasema kuanzia leo atakaepokea na kutoa ni kifungo miaka mitatu
Na akatoa Amri kwa wakuu wa polisi kuwashughulikia hao au kuachia ngazi

Basi nafikiri Rushwa itapungua sana
Mbona nchi kama Ethiopia na Rwanda wameweza?

Ethiopia ukisimamishwa na polisi ukaingiza mkono mfukoni tu anakulimbia 😂
Nyie kalieni na marifomu yenu tu wakati watu wanapiga hela zenu
 
Back
Top Bottom