Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Polisi wa traffic pale IMTU BARABARA YA MBEZI BEACH WANAKULA RUSHWA HADHARANI.Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo zinafanywa na raia wema lakini hii tabia inaoneka ilishashika mizizi.
Nasikitika kusema sisi raia ndiyo walezi wa Hawa wasaliti wa jeshi la heshima la polisi Tanzania.
Wakati wa kuwahi kwenye shughuli zetu asubuhi wanasimamisha magar na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kupokea RUSHA. Hii ni njia ambayo WAMBURA ( IGP ) Anapita na anawaona RUSHWA