Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Polisi wa traffic pale IMTU BARABARA YA MBEZI BEACH WANAKULA RUSHWA HADHARANI.Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo zinafanywa na raia wema lakini hii tabia inaoneka ilishashika mizizi.
Nasikitika kusema sisi raia ndiyo walezi wa Hawa wasaliti wa jeshi la heshima la polisi Tanzania.
Hao mabwana wameshakula sana hela zangu.Polisi wa traffic pale IMTU BARABARA YA MBEZI BEACH WANAKULA RUSHWA HADHARANI.
Wakati wa kuwahi kwenye shughuli zetu asubuhi wanasimamisha magar na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kupokea RUSHA. Hii ni njia ambayo WAMBURA ( IGP ) Anapita na anawaona RUSHWA
Nakumbuka miaka ya tisini mtu alinifungilia shitaka la kijinga kuwa anahisi nataka kumdhuru,basi baada ya kuandika maelezo nikapewa dhamana . Siku ya tatu mpelelezi akaomba tonane bar akaja na faili na maelezo yote tukamalizana kikubwa, na kunitaka nisirudi tena kituoni 🤣Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo zinafanywa na raia wema lakini hii tabia inaoneka ilishashika mizizi.
Nasikitika kusema sisi raia ndiyo walezi wa Hawa wasaliti wa jeshi la heshima la polisi Tanzania.
Nataka nichukue zile namba zao niziweke humu shuba miti zaoHao mabwana wameshakula sana hela zangu.
Ukweli ni kuwa njaa ni kali sana pande hzi kaka ,wewe toa kama swadaka ijapokuwa sio vizuri ila njaa ni kali mkubwaHao mabwana wameshakula sana hela zangu.
*** offNakumbuka miaka ya tisini mtu alinifungilia shitaka la kijinga kuwa anahisi nataka kumdhuru,basi baada ya kuandika maelezo nikapewa dhamana . Siku ya tatu mpelelezi akaomba tonane bar akaja na faili na maelezo yote tukamalizana kikubwa, na kunitaka nisirudi tena kituoni 🤣
Kuna shangazi yangu mmoja ni traffic alikuwa anapambania nafasi ya kufanya kazi barabarani, Ilichukua muda sana kupata nafasi mpaka Kamanda mkubwa tu hapa Tanzania alishirikishwa.Mishahara midogo tatizo
Huko mpaka uhongeKuna shangazi yangu mmoja ni traffic alikuwa anapambania nafasi ya kufanya kazi barabarani, Ilichukua muda sana kupata nafasi mpaka Kamanda mkubwa tu hapa Tanzania alishirikishwa.
Yaani tayari ni mifumo imeshatengenezwa.
Bro achana nalo Hilo ni la pale ubungo riverside kupapuliwa na wahuniUkorofi uanze wewe ,na sasa umeanza ,je unaniruhusu nianze kupambana na wewe?
Wewe huna tamaa ya pesa?Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo zinafanywa na raia wema lakini hii tabia inaoneka ilishashika mizizi.
Nasikitika kusema sisi raia ndiyo walezi wa Hawa wasaliti wa jeshi la heshima la polisi Tanzania.
Yeye hajawahi kupewa hela,anadhani hana tamaa.Wewe huna tamaa ya pesa?
OK. Hapo sawa. Mi nikafiri yeye akipewa hazitaki!Yeye hajawahi kupewa hela,anadhani hana tamaa.
unamshauri nini shangazi yako??Kuna shangazi yangu mmoja ni traffic alikuwa anapambania nafasi ya kufanya kazi barabarani, Ilichukua muda sana kupata nafasi mpaka Kamanda mkubwa tu hapa Tanzania alishirikishwa.
Yaani tayari ni mifumo imeshatengenezwa.
Analalamika sababu hayuko ktk nafasi ya kupewa hela,si kwa sababu ni mpenda haki sana.OK. Hapo sawa. Mi nikafiri yeye akipewa hazitaki!
kali sana,bahati mbaya wananchi wengine nao njaa kali wanashindwa kuwapa hela wanakuja kulia huku.Polisi wote Tanzania wana njaa kali