Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hoja maeneo ya sinza kule ndio michezo Yao hii Cc ephen_Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln
Ova
Unawapa safi kwamba wameshakamata wahusika auUle unyama hauna mfano!
Safiiii jeshi la polisi...
Angekuwa dada yako ungesema hivyo?mbona anaonekana kufurahi mpk anakiss kbs , ebu tuache unafiki asee
Mimi sijajisumbua kuitafuta cz najua sitoweza kuvumiliaKusambaza ni sawa ni kuunga mkono vitendo vyao. Wewe elewa tu kuna wanaume wanne walikuwa wanambaka msichana kwa zamu huku wakimkejeli.
Naunga mkono hoja Mkuu Cc ephen_Sinza kumechafuka,mimi na umjini wangu lakini nawashangaa
Watu wanaoishi sinza na familia zao
Ova
Unaitwa ujinga mzigoUshamba wa simu umekuwa mzigo mzito sana kwa wahalifu .. Siku hizi wahalifu wanadakwa kama panzi kwa kutumia simu zao tu..
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi
Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi
Pia soma >Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
View attachment 3061184
Sijaipata na nimeamua kusamehe tu. labda Mungu ananiepusha😂😂Hope ushapata dhambi saiv🤣🤣
Mlaumu mume wako kwa kukosa akili ya kuitunza familia yake, mchepuko hauna makosa yoyote, lijinga ni li mume wako!!mme wa mtu sumu , ilipaswa huyo dada anyongwe , anaondoka na bajeti ya mzee kisha familia inakosa huduma kisa mpuuz mmoja anampa jicho , kesho tunazalisha vijana waarifu sababu hawakupata huduma zao za msingi kutoka kwa baba
kaa mbali na waume za watu
kwa vile hii ni nchi ya wajinga itampa pole huyo dada
Maafande wa siku hizi hamna kitu kama machokoraa tuAcha ujinga wewe hamna afande mjinga kama hao milele yaani ujinga wa maaafande ila hawawezi kufanya kitu kama hicho hao ni vibaka tu hamna afande ataejirokodi akifanya ujinga kama huo