Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ndugu zangu salaam

Kutokea tukio la binti kufanyiwa ukatili wa kingono na njemba zaidi ya wanne kumekua na makatazo mbali mbali na amri za kutisha zakutokuisambaza video iliyorekodiwa ikionyesha wahusika waliotekeleza unyama huo huku tukifahamu kweli ni kinyume cha sheria kuendelea kusambaza

Pia vyombo mbali mbali vimeomba na kuombwa ushikikiano ili watu hao watiwe nguvuni .

Swali ni kwamba

1: Huku uraiani kuna wengine wanaoishi na ndugu jamaa na marafiki zao au walikua marafiki zao, watajuaje wahusika ni hawa ili wawachomeshe wakamatwe kama kuna katazo la kuendelea kuisamba hiyo video limetolewa na huku inafahamika kuendelea kuisambaza ni kinyume na sheria?

2: Tunajua walikuwa wanaenda kwenye nyumba za ibada, sehemu za huduma za kijamii, na kwenye mikusanyiko mbali mbali au sehemu za starehe, je, kama wametoa katazo ni vipi raia ambao hawajaona sura za wahusika wataweza vipi kushirikiana kutoa taarifa au kuwatia nguvuni kuwa wa husika ni hawa ili hali kunakatazo limetolewa la kutokuendelea kusambaza ile video ya unyama uliofanyika ambapo tunajua kuisambaza ni kinyume na sheria za mtandaoni?

Nb. Sipo hapa kuhalalisha hiyo video iendelee kusambazwa na ninapinga vikali maana ni kuvunja sheria kuendelea kuisambaza

Ila ...

Je, nini kifanyike ili sura za wahusika waliotenda kosa hilo zipatikane haraka na kuwekwa wazi ili kuwezesha kupatikana ushirikiano wa haraka kutoka kwa raia utakao wezesha hao jamaa watiwe nguvuni upesi na sheria ifate mkondo wake.
 
 
Mkuu sorry umeandika kitu NON SENSE

Umeandika hoja tatu ili eti uoneshe ni sahihi Mamlaka kuruhusu hio Video ya uchi wa binadamu + udhalilishaji isambae.

Ni kwamba majeshi yote yameshindwa kuwaita nguvuni wahalifu sabab ya kutoruhusu Video

Hivi uko sawa kweli ??
 
I
Inasikitisha na kuogopesha at once,. Ila hao majamaa wachukuliwe hatua
 
Aingie kwenye hiyo akaunti ya twitter kama jamaa hajaifuta. Ila inakera na kutia hasira sana. Wale mbwa kama wangemfanyia vile binti yangu au ndugu yangu hakika wangelipa
Ni kuomba tu Mungu aisee,. Na kuwa makini na watoto wetu maana dunia ya saizi inatisha
 
Inasikitisha sana kwa kweli.

Polisi nadhani wamepata ganzi kwasababu hao WAHUNI waliombaka Binti ni Kutoka JWTZ na muhusika aliyewatuma ni Captain wa JWTZ.

Tusipepese macho.
Kwa askari alie kwenye jeshi tofauti na polisi ukifanya kosa la jinai ni lazima upelekwe mahakama ya kijeshi ufukuzwe kwanza kazi alafu ndo unakabidhiwa kwa polisi kuendelea na kesi ya jinai hivyo hivyo kwa polisi unafukuzwa kwanza kazi kwenye mahakama yao ya kijeshi alafu unaendelea na mashitaka yako kama muhalifu ambae jeshi limeshajitenga na wewe, kwahiyo jamaa kwa kinachoendelea hadi sasa kama kweli ni askari basi tayari wameshakamatwa zinaanza taratibu za awali za kufukuzwa kazi na zinazofata ni watuhumumiwa kukabidhiwa polisi na kufikishwa mahakamani.

Kila kitu kina taratibu zake hata wewe ukiua unazo haki zako kama mtuhumiwa ambazo utaratibu unatakiwa ufatwe usipofatwa utaratibu unaweza kwenda kushinda kesi kwa kujenga hoja kutokana na utaratibu kutokufatwa.
 
Lazima dada mwanajeshi akili ilimruka mume wake naona alipagawa Kwa binti ,, binti anaonekana Yuko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kwenye 6x6 . Dada mwanajeshi akapandwa na kichaa cha ndoa......
Wale huwa hawatumii akili mara nyingi hutumia nguvu,nenda kambi hasa za jkt uone wanavyojidhalilisha kisa vimwanaume vyao.Kule wengi shule walifeli
 
Tuwakate DUDU kabla ya kukamatwa na Polisi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…