Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

🚮
 
Mkomavu tu yule
Hata mimi nimeona ni mkomavu na alifanya makosa kutembea na mume wa mtu lakini wale vijana na aliowatuma wamefanya Ushetani mkubwa ambao hautakiwi kuungwa mkono kama ambavyo wewe unafanya
 
Unajuaje kama hao hawalawiti watoto? Mtu kama yule anaweza fanya chochote . Kwa hiyo wanstahili adhabu kubwa tu.
 
Unafuuu gani, wote wanakula kifungo cha maisha. Siku hizi watu hata hawanyongwi ni hukumu tu na hakuna utelelezaji. Wote wanapitia maumivu yako palepale
.
Jidanganye mkuu kuwa watu hawanyongwiiii.
Watu tukiwa uraiani baadhi ya mambo ni yakufikirika.
Bora mtu upewe hukumu ya kifungo cha maisha maana unajua unaweza hata toka kwa msamaha wa raisi ila kunyongwa hadi kufa hapo hamna msamaha wa raisi wala nini.
 
Watoto wa uswahili YOMBO kuna siku wananijibu kuwa tumeanza michezo ya kupiga miguu yote tangu tukiwa darasa la PILI.

Niliwaambia hiyo ni hatari waksema nimesha -zeeka
 
Sasa pale walibakiza nini kama sio kuua. Unaichukulia lile jambo powa wewe.
Mkuu acha nisiseme mengi maana hapa ni mtandaoni ila yapo mabaya kuliko uliloona wewe ndo maana mm waona kama naona hili ni kosa baya ila kuna mabaya zaid ya haya.
Mfano yule mama ambaye watoto wake watano waliuwawa kwa sumu ile issue we waionaje?
 
Mkuu acha nisiseme mengi maana hapa ni mtandaoni ila yapo mabaya kuliko uliloona wewe ndo maana mm waona kama naona hili ni kosa baya ila kuna mabaya zaid ya haya.
Mfano yule mama ambaye watoto wake watano waliuwawa kwa sumu ile issue we waionaje?
Yote ni makosa ya jinai. Kila moja litachukuliwa kwa uzito wake. Haya yakiachwa ndio yanapelekea hayo mengine makubwa zaidi .
 
Kila siku nasema mabinti waache kudate na waume za watu, na wakaka waache kudate na wake za watu.

Madhara ndo km hayaa, khaaaah
Kwenye mahusiano asilimia80ni kudanganya,alieolewa anadai hana mume ,alieoa hana mke!Timbwili likitokea ndio utata unapoanzia.
 
Ushauri kwa jf member wenzangu.
Usizini na mke wa mtu
Usizini na mme wa mtu
Usizini na mwanafunzi.

Ukifanya haya utajiepusha na hayo madhila ya kishamba.
 
Aliyatafuta!? Aliridhia!? Huyu kwani alikuwa na kosa Gani!?
 
😄😄😄😄😄,kinachonisumbua akili mpaka sasa,ni huyu capt mzima kulizwa na mapenzi mpaka akili zikasimama.ingawa mahakamani anaweza wanawa hawa watoto vyema kabisa,kwamba nao wana akili,sikuwashinikiza kufanya waliyofanya.

Lakini pia huwa napenda kusema,utakuwa mpumbavu wa kiwango kikubwa kukubali kwamba taasisi zote nchini zina uvundo ila sio jeshi letu la ulinzi😄😄.
 
Inasikitisha sana kwa kweli.

Polisi nadhani wamepata ganzi kwasababu hao WAHUNI waliombaka Binti ni Kutoka JWTZ na muhusika aliyewatuma ni Captain wa JWTZ.

Tusipepese macho.
Fanya maarifa nione hiyo kideo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…