Acha hisia mkuu. Hapo mie sioni kama ni issue kubwa kivile kama wale walochinja watoto au kuchoma mwenzake kisa haya maujinga.
Ifike mahala tujue makosa makubwa zaid ya mengne kwa adhabu.
Hiv yule alomchoma mme wake ndan had akafa we waonaje?.isiwe kisa umeona wahun wakipeleka moto ukafa ganziii.
Siungi mkono walichofanya ila sipendi tuwe kihisia zaid katika makosa haya ya jinai maana kunapoteza uhalisia. Pia tukumbuke kuna watoto wanalawitiwa na kuharibika kabisaaa tofaut na huyo mtu mzima ambaye aliyatafuta. Ila mtoto alolawitiwa anakosa ganiii?