Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln

Ova
Hata mimi nishayaona haya.
 
huyo kijana amewai kuishi mbagala mtoni kijichi pia shule ya msingi amehitimu 2010 ni classmate wangu ni muuni mzuri san nakumbuka pia darasa la 4 nishawai kupigana nae kwa utata wake wa kijinga 😀

Jamii tulee vijana wetu vizuri leo ndio nimeamini kuwa yote yanayotokea kwa mtu ni kulingana na misingi yake tangu udogoni
Saidia vyombo vya dola kupata jina lake na anakoishi
 
Mwanamke yoyote anayetea oovu huu hana akili kabisa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo. Mumewe alienda kwa hiari yake kufuata binti na kumtongoza. Hawa ndio wanawake waofanya tuonekana hamnazo
Wanawake wenye roho mbaya tunao wasikia ndio hawa sasa.
 
Leo nmetafakari sana.
Yan hata wale wafiraji wa wake zao leo nao wanawasema walofira mtoto wa watu.

ACheni kuwaumiza wake zenu kisa kutaka raha. Au kuwaumiza wapenz wenu kisa kutaka raha. Nanyi wanawake achen mchezo wenu mchafu
 

Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
Tulihisi tupo vitani mkuu. Naomba radhi kwa hili
 
Nashangaa pia kuona hadi sasa JWTZ halijasema lolote kuhusu hao vijana kuhusishwa na JWTZ.

Hata hivyo nchi yetu ni nchi ya kushangaza.
KWani we unataka kusikia nn mkuu.
Muda ukifika utaambiwa .

Kwa ufupi baadhi ya vijana wapo mikononi. Taratibu znafanyika kuwasalimisha sehemu ya pili kwaajili ya taratibu nyingine
 
Yaani Mpaka sasa hawakamatwa? 24hrs zinapita bila kukamatwa? Wameshindwa kwenda MSATA na Mapinga kuwatafuta?
Acha ushamba mkuu hata kama we ndo ungekuwa umefanya ungekuwepo mpaka saivi au ungekuwa chaka umejifichaaa???

Nao wanaokoa nafsi zao mkuu. Polisi tusiwalaumu bure unafikiria saivi nao hawajaambiwa penal code 131A inasemaje?
 
Mbali na kuwa ni ukatili na jinai isiyofaa kufumbiwa macho ila Wakuu sijaona machozi kabisa kutoka kwa binti. Au hali yoyote ya kilio zaidi ya uoga wa kuogopa walevi na labda 'kipigo'.

Siungi mkono ila haya ni machache yaliyonishangaza.
 
Acha ushamba mkuu hata kama we ndo ungekuwa umefanya ungekuwepo mpaka saivi au ungekuwa chaka umejifichaaa???

Nao wanaokoa nafsi zao mkuu. Polisi tusiwalaumu bure unafikiria saivi nao hawajaambiwa penal code 131A inasemaje?
Wanakimbia kufungo cha maisha na mateso mengine. Akili ndio zinarudi baada ya bangi na pombe kuisha.
 
Back
Top Bottom