Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nishayaona haya.Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln
Ova
Saidia vyombo vya dola kupata jina lake na anakoishihuyo kijana amewai kuishi mbagala mtoni kijichi pia shule ya msingi amehitimu 2010 ni classmate wangu ni muuni mzuri san nakumbuka pia darasa la 4 nishawai kupigana nae kwa utata wake wa kijinga 😀
Jamii tulee vijana wetu vizuri leo ndio nimeamini kuwa yote yanayotokea kwa mtu ni kulingana na misingi yake tangu udogoni
Polisi wa bongo hawatabiriki mara wanamtia na yeye kwenye kesi.Saidia vyombo vya dola kupata jina lake na anakoishi
Wanawake wenye roho mbaya tunao wasikia ndio hawa sasa.Mwanamke yoyote anayetea oovu huu hana akili kabisa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo. Mumewe alienda kwa hiari yake kufuata binti na kumtongoza. Hawa ndio wanawake waofanya tuonekana hamnazo
Unyama gan mkuu mbona watu hufanyia wapenzi wao na wake wao hivyooo na wengine hadi wanaume wenzaoooo.Ule unyama hauna mfano!
Safiiii jeshi la polisi...
Mkuu nisaidie PMKuw mpole ntakutumia
Hujapata dhambi mpaka muda huuuu kweli Mungu na akusimamieSijaipata na nimeamua kusamehe tu. labda Mungu ananiepusha😂😂
Tulihisi tupo vitani mkuu. Naomba radhi kwa hili
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.
Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
KWani we unataka kusikia nn mkuu.Nashangaa pia kuona hadi sasa JWTZ halijasema lolote kuhusu hao vijana kuhusishwa na JWTZ.
Hata hivyo nchi yetu ni nchi ya kushangaza.
Acha ushamba mkuu hata kama we ndo ungekuwa umefanya ungekuwepo mpaka saivi au ungekuwa chaka umejifichaaa???Yaani Mpaka sasa hawakamatwa? 24hrs zinapita bila kukamatwa? Wameshindwa kwenda MSATA na Mapinga kuwatafuta?
Huyo hafai kwenye jamii.Wanawake wenye roho mbaya tunao wasikia ndio hawa sasa.
Huyo hafai kwenye jamiiWanawake wenye roho mbaya tunao wasikia ndio hawa sasa.
Mahakamani mkuuKuna tukio lilitokea Dakawa mwaka 2016 linafanana na hili ... ile kesi iliishia wapi?
Wanakimbia kufungo cha maisha na mateso mengine. Akili ndio zinarudi baada ya bangi na pombe kuisha.Acha ushamba mkuu hata kama we ndo ungekuwa umefanya ungekuwepo mpaka saivi au ungekuwa chaka umejifichaaa???
Nao wanaokoa nafsi zao mkuu. Polisi tusiwalaumu bure unafikiria saivi nao hawajaambiwa penal code 131A inasemaje?