Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

Tumeshajipanga vyema....

Maandamano haya ni muhimu....

Taratibu zote za kiutekelezaji ziko tayari.....

Erthyrocyte karibu katika maandamano yetu ya kizalendo......

Nimeandaa "mafuta ya mgando" na chupa ya maziwa ili kupunguza "moshi" wa mabomu ya machozi....

Tunasubiri tamko la mwenyekiti wetu.....akituzuia tunarudi nyuma....

#NchiKwanza[emoji120]
#UwekezajiWaDPWorldNiMuhimu[emoji120]
 
Swali lako ni la kijinga sana , Muulize Mwakyembe akusimulie habari zangu , wewe kwangu ni sawa na dagaa mchele tu , huwa sijishughulishi na watu duni kama wewe , mimi napambana na akina Kinana
Sawa mkuu wa kazi
 
Siwezi kushiriki maandamano ya Shetani
 
Ila Mdude hana ukubwa huo,
Ila Police wamefanya vema kupiga maandamano ya ovyo ovyo hata kama ni ya CCM
Hana ukubwa huo lakini mnamwopa mpaka Sasa mmemficha ndani
 
HONGERA JESHI LETU PENDWA KWA KUSIMAMA KATIKATI BILA KUJALI HILI NILA CCM AU LA!,HIVYO HIVYO NA VYAMA VINGINE VIJIFUNZE UTII WA MAELEKEZO YATOLEWAYO NA MAMLAKA ZETU NCHINI.
"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"
 
HONGERA JESHI LETU PENDWA KWA KUSIMAMA KATIKATI BILA KUJALI HILI NILA CCM AU LA!,HIVYO HIVYO NA VYAMA VINGINE VIJIFUNZE UTII WA MAELEKEZO YATOLEWAYO NA MAMLAKA ZETU NCHINI.
"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"
Acheni siasa za kitoto maandamano yapo pale pale
 
Lazima tuandamane tukiimba "Mwarabu arudi kwao atuachie bandari yetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…