Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

Jeshi letu linaongozwa na watu wenye upeo mdogo sana. Kwa kupanga hii mbinu chafu yenye lengo la kufanya kitendo kilicho kinyume cha katiba, kwa upeo wao mdogo walio nao, wanaona wametumia mbinu ya akili kubwa sana, kwa sababu ndipo upeo wao unapoishia.

Polisi na huyo mwenyekiti wa UVCCM, watambue kuwa wananchi wana akili zaidi yao maradufu, vimbinu vya kijinga kama hivyo havina msaada wowote.
 
 
Mlezi wa UVCCM TAIFA ni Nani???

Katibu mkuu wa CCM TAIFA kuna mahali Hauko sawa , Wewe ni mlezi wa UVCCM , ulikuwa wapi hadi Wanatangaza maandamano haramu!!

Inakuaje Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hadi anatangaza maandamano nchi nzima alikuwa ameshauriwa na Nani???
 
hawa jamaa wanatuona tuna akili kama za kuku
 
UVCCM NA POLISI HII WALIPANGA ILI KUONYESHA KUWA UVCCM WAMEZUILIWA MAANDAMANO BASI WENGINE WAJAO WATAZUILIWA, KITAELEWEKA SOON.

Maandamano yako pale pale trust me.
 
Polisi na UVCCM walipanga maandamano na UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike 18,07,2023 na baadaye Polisi watangaze maandamano yamefutwa ili kuhadaa UMMA WA WATANGANYIKA.
 
sijajua kama ana ufahamu wa chini au anajichetua tu
This rubbish is neither here nor there, absolute pitter patter.

Andika unachotaka kuandika, usisuesue kivivu.

Mimi naongelea haki za kikatiba za watu kuandamana, huo ufahamu wa chini, chini wapi?
 
CCM wanatumia mbinu nyingi sana sana Ili mkataba wa kihuni upate na ufanikiwe.

WATANGANYIKA TUSIKUBALI HATA KIDOGO
 
Wamepreempt mapema mpango wa Mdude
 
wanajua wanafanya nini ila ni mbinu ya kitoto
 
Hiri ri jamaa ririropiga marufuku rinataka kuja kuhararisha marufuku tutakapoomba yetu .yanajipigaje marufuku.
 
Cz ya maridhiano inabid iwepo check and balance 🤣🤣🤣🤣!!
 
Halafu mkibanduliwa huko mnakuja kusema polisi wanawaonea, nyie chadema dawa yenu ni kuwafanya kama Roma alivofanywa (indoor)

Wewe ni moja ya walioteka Roma? Mambo aliyofanyiwa ndani uliyajuaje? Kama mwenyewe aliyasema means ni ya kawaida kufanyiwa victim.(kuteswa hadi kuvalishwa kanga kama MO).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…