Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.Lucasi nakuita mara tatu juu ya hili kaa kimya usije ukawa mbuzi wa kafara kumbuka wewe ni verified na namba yako wanayo acha policcm ibebe zigo lake la misumari usitake watu wajilipizie kisasi kwako kupoza madhila yao.
Hii Hujaipata??Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.
Sawa nashukuruLucas sijaanza kukufatilia Leo nakujua Tangu unaanza kuingia Jf nakujua kuanzia Zamani..
Ila si kila situation Ni ya kujadili kwa upande wa Sifa..
Jifunze kuwa na akiba ya Maneno
Nimeipata.Hii Hujaipata??
View attachment 3090551
Haya yamejichapisha eh?Kwani nimefanya kosa lipi kuweka taarifa zilizotolewa na jeshi la polisi? Mimi nimewasilisha taarifa kama ilivyo pasipo kuongeza neno lolote lile
We jamaa uwe unaangalia na mambo ya ku post.Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.
Huyu shetani hana akiliLucas Kuna Muda Kunyamaza Ni bora zaidi ya Kuongea..
Hawa UWT hawana akili wala utu kabisaTatizo aliyeuawa siyo ndugu yako ,baba au babu yako.
Ndiyo maana unaleta mzaha kwa mambo ya uhai wa watu.
Kindly shut up.
Kifo hiki kimemuumiza kila mtu.Hawa UWT hawana akili wala utu kabisa
Hawa UWT wanajiona wapo juu ya sheriaWe jamaa uwe unaangalia na mambo ya ku post.
Au ni bora tu usinge post, kwa post zako za nyuma inaonekana ni kama unawakejeli wa chama pinzani.
Mwisho uje uanze kutafutwa , watu wamechefukwa hivi sasa, we endelea na huo ujinga. Unafikiri kila kitu ni kuleta uchawa. Hizi ni siasa.
Afike msibani halafu apewe nafasi ya kuongea halafu azungumze hayo maneno amesema hapo chini mama anatosha... Halafu aone kitakachompata.Lucas sijaanza kukufatilia Leo nakujua Tangu unaanza kuingia Jf nakujua kuanzia Zamani..
Ila si kila situation Ni ya kujadili kwa upande wa Sifa..
Jifunze kuwa na akiba ya Maneno
Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?
Kosa langu ni lipi katika kuwasilisha taarifa ya jeshi la polisi? Vipi kama taarifa hiyo ingetolewa na kuletwa na mtu mwingine? Acha chuki zako binafsi
Wapi umeandika umeumia wewe chawa mwekundu?Kifo hiki kimemuumiza kila mtu.
Huwa tunasema kila siku CCM imejaa majitu majinga na haya utu kama hii takataka kutoka UWT ChunyaHabari za majonzi unaleta issue za siasa? Mambo ya Mama kizimkazi ya nini? Mtu anatekwa mchana kweupe halafu unaleta issue za mizaha?Nilitarajia ungetoa ushahuri kwa jeshi la polisi kujiimarisha maana inaonekana limepwaya mpaka watekaji wanakuja na mitutu wanapark bus TEGATA/MJAPAN COMPLEX wanamteka mtu halafu wao wameshindwa kuwadhibiti.
Huyu shetani analeta taharuki katikati ya majonziWewe msimamo wako ni upi kwa matendo ya UTEKAJI na watekaji?