Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Lucasi nakuita mara tatu juu ya hili kaa kimya usije ukawa mbuzi wa kafara kumbuka wewe ni verified na namba yako wanayo acha policcm ibebe zigo lake la misumari usitake watu wajilipizie kisasi kwako kupoza madhila yao.
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.
 
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.
Hii Hujaipata??
Screenshot_20240908_201917_X.jpg
 
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyotolewa na wahusika.ndio maana Sijaweka neno langu lolote lile.
We jamaa uwe unaangalia na mambo ya ku post.
Au ni bora tu usinge post, kwa post zako za nyuma inaonekana ni kama unawakejeli wa chama pinzani.

Mwisho uje uanze kutafutwa , watu wamechefukwa hivi sasa, we endelea na huo ujinga. Unafikiri kila kitu ni kuleta uchawa. Hizi ni siasa.
 
Hawa UWT wanajiona wapo juu ya sheria
 
Lucas sijaanza kukufatilia Leo nakujua Tangu unaanza kuingia Jf nakujua kuanzia Zamani..

Ila si kila situation Ni ya kujadili kwa upande wa Sifa..
Jifunze kuwa na akiba ya Maneno
Afike msibani halafu apewe nafasi ya kuongea halafu azungumze hayo maneno amesema hapo chini mama anatosha... Halafu aone kitakachompata.
 
Kosa langu ni lipi katika kuwasilisha taarifa ya jeshi la polisi? Vipi kama taarifa hiyo ingetolewa na kuletwa na mtu mwingine? Acha chuki zako binafsi

Habari za majonzi unaleta issue za siasa? Mambo ya Mama kizimkazi ya nini? Mtu anatekwa mchana kweupe halafu unaleta issue za mizaha?Nilitarajia ungetoa ushauri kwa jeshi la polisi kujiimarisha maana inaonekana limepwaya mpaka watekaji wanakuja na mitutu wanapark bus TEGETA/MJAPAN COMPLEX wanamteka mtu halafu wao wameshindwa kuwadhibiti.
 
Habari za majonzi unaleta issue za siasa? Mambo ya Mama kizimkazi ya nini? Mtu anatekwa mchana kweupe halafu unaleta issue za mizaha?Nilitarajia ungetoa ushahuri kwa jeshi la polisi kujiimarisha maana inaonekana limepwaya mpaka watekaji wanakuja na mitutu wanapark bus TEGATA/MJAPAN COMPLEX wanamteka mtu halafu wao wameshindwa kuwadhibiti.
Huwa tunasema kila siku CCM imejaa majitu majinga na haya utu kama hii takataka kutoka UWT Chunya
 
Back
Top Bottom