Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Siyo wakati wa kutukanana.ni wakati wa kutoa mawazo yetu juu ya nini kifanyike kukomesha Vitendo hivi.Wapi umeandika umeumia wewe chawa mwekundu?
Mama Abdul na watu wake ndio wahusika wakuu
Ninalaani sanaa na kuungana na Mheshimiwa Rais juu ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina.Wewe msimamo wako ni upi kwa matendo ya UTEKAJI na watekaji?
Siyo kweli.Mama Abdul na watu wake ndio wahusika wakuu
Habari za majonzi unaleta issue za siasa? Mambo ya Mama kizimkazi ya nini? Mtu anatekwa mchana kweupe halafu unaleta issue za mizaha?Nilitarajia ungetoa ushahuri kwa jeshi la polisi kujiimarisha maana inaonekana limepwaya mpaka watekaji wanakuja na mitutu wanapark bus TEGATA/MJAPAN COMPLEX wanamteka mtu halafu wao wameshindwa kuwadhibiti.
Inasikitisha sana, siasa zikifikia hatua hii ni heri ukae kimya.Hawa UWT wanajiona wapo juu ya sheria
Ndiyo wanafundishwa hivyo na chama chaoInasikitisha sana, siasa zikifikia hatua hii ni heri ukae kimya.
Luca hebu utulie bana unanifanya nicheke muda sio wa kucheka....Kifo hiki kimemuumiza kila mtu.
Nashukuru kwa maoni na mtizamo wako wa kimawazo.Watu aina ya Lucas ni watu waoga, na hawapewagi kipaombele na watawala kwa sababu hawana sifa za kuwa karibu na watawala.
Ni watu waoga, wanafiki na automatically hawawezi kuaminika na kuaminiwa. Rahisi kununulika na kununuliwa. Hivyo kukusaliti ni dakika mbili mbele.
Ni wale watu ambao akipata nafasi kumpindua aliyempa nafasi ni dakika mbili mbele.
Wapo watu wa hivyo tumewaona wakiwa hivyo mpaka Sasa wanazeeka wakiwa wapambe tuu.
Mtu Coward hawezi kukaa chakulani au kwenye meza ya Wakuu.
Hata siku akiambiwa na mtawala amkosoa amwambie Ukweli. Hatasema kweli ataishia kusema upo sahihi kwa yote mheshimiwa. Hakuna kiongozi au mtawala anayetaka kukaa karibu na mtu Coward.
Ni lazima tukemee Vitendo hivi na kuchukua hatua kali kwa yeyote anayehusika.Luca hebu utulie bana unanifanya nicheke muda sio wa kucheka....
Sawa nashukuruUnaleta taharuki hapa ya kijinga, logout ukalale, toa ujinga wako hapa
Hovyo kabisaSawa nashukuru
Sawa nashukuruHovyo kabisa
Ujinga gani kwani jamii forum unaimiliki we we?Unaleta taharuki hapa ya kijinga, logout ukalale, toa ujinga wako hapa
Huyu siyo muoga ni mjingaWatu aina ya Lucas ni watu waoga, na hawapewagi kipaombele na watawala kwa sababu hawana sifa za kuwa karibu na watawala.
Ni watu waoga, wanafiki na automatically hawawezi kuaminika na kuaminiwa. Rahisi kununulika na kununuliwa. Hivyo kukusaliti ni dakika mbili mbele.
Ni wale watu ambao akipata nafasi kumpindua aliyempa nafasi ni dakika mbili mbele.
Wapo watu wa hivyo tumewaona wakiwa hivyo mpaka Sasa wanazeeka wakiwa wapambe tuu.
Mtu Coward hawezi kukaa chakulani au kwenye meza ya Wakuu.
Hata siku akiambiwa na mtawala amkosoa amwambie Ukweli. Hatasema kweli ataishia kusema upo sahihi kwa yote mheshimiwa. Hakuna kiongozi au mtawala anayetaka kukaa karibu na mtu Coward.
Huu ushauri akiufanyia kazi atafika mbali sana Dr.Lucas Kuna Muda Kunyamaza Ni bora zaidi ya Kuongea..
Ninalaani sanaa na kuungana na Mheshimiwa Rais juu ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina.
R.I.P muungwana Ally Kibao..
Dada angu nakuheshimu naomba ukalaleUjinga gani kwani jamii forum unaimiliki we we?