Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Habari za majonzi unaleta issue za siasa? Mambo ya Mama kizimkazi ya nini? Mtu anatekwa mchana kweupe halafu unaleta issue za mizaha?Nilitarajia ungetoa ushahuri kwa jeshi la polisi kujiimarisha maana inaonekana limepwaya mpaka watekaji wanakuja na mitutu wanapark bus TEGATA/MJAPAN COMPLEX wanamteka mtu halafu wao wameshindwa kuwadhibiti.

Watu aina ya Lucas ni watu waoga, na hawapewagi kipaombele na watawala kwa sababu hawana sifa za kuwa karibu na watawala.

Ni watu waoga, wanafiki na automatically hawawezi kuaminika na kuaminiwa. Rahisi kununulika na kununuliwa. Hivyo kukusaliti ni dakika mbili mbele.

Ni wale watu ambao akipata nafasi kumpindua aliyempa nafasi ni dakika mbili mbele.

Wapo watu wa hivyo tumewaona wakiwa hivyo mpaka Sasa wanazeeka wakiwa wapambe tuu.

Mtu Coward hawezi kukaa chakulani au kwenye meza ya Wakuu.

Hata siku akiambiwa na mtawala amkosoa amwambie Ukweli. Hatasema kweli ataishia kusema upo sahihi kwa yote mheshimiwa. Hakuna kiongozi au mtawala anayetaka kukaa karibu na mtu Coward.
 
Natumai wale wapelelezi waliofanya uchunguzi wa mauaji ya wafanyabiashara wawili kule songea waliopplotea na hatimae kubaini walikokuwa wamefukiwa na watuhumiwa kukamatwa nao wataongeza nguvu kwenye hili nadhani wanakitu cha ziada
 
Watu aina ya Lucas ni watu waoga, na hawapewagi kipaombele na watawala kwa sababu hawana sifa za kuwa karibu na watawala.

Ni watu waoga, wanafiki na automatically hawawezi kuaminika na kuaminiwa. Rahisi kununulika na kununuliwa. Hivyo kukusaliti ni dakika mbili mbele.

Ni wale watu ambao akipata nafasi kumpindua aliyempa nafasi ni dakika mbili mbele.

Wapo watu wa hivyo tumewaona wakiwa hivyo mpaka Sasa wanazeeka wakiwa wapambe tuu.

Mtu Coward hawezi kukaa chakulani au kwenye meza ya Wakuu.

Hata siku akiambiwa na mtawala amkosoa amwambie Ukweli. Hatasema kweli ataishia kusema upo sahihi kwa yote mheshimiwa. Hakuna kiongozi au mtawala anayetaka kukaa karibu na mtu Coward.
Nashukuru kwa maoni na mtizamo wako wa kimawazo.
 
Huyu siyo muoga ni mjinga
 
Ninalaani sanaa na kuungana na Mheshimiwa Rais juu ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina.

Unalaani kwa sababu Rais kalaani au unalaani kwa sababu walichofanya na kilichofanywa sio sahihi?

Ukitaka kufika mbali usiwe mwoga. Usifanye jambo kwa sababu mwingine kafanya, uwe ni Rais au mzazi au yeyote. Fanya kulingana na vile wewe binafsi unavyoona. Kufuata Mkumbo sio sifa njema.

Kusifia mtu sio kosa. Ila kusifiasifia inaweza kuwa tatizo.
Kukosoa mtu sio kosa ila kukosoakosoa. Inaweza kuwa tatizo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi View attachment 3090505
.
R.I.P muungwana Ally Kibao..

ni jambo la maana zaidi ikiwa kuna yeyote alie na taarifa sahihi za kuaminika juu ya tukio hili la kinyama dhidi ya utu wa mwanadamu, kuziwasilisha kwa vyombo vya kiuchunguzi ili hatimae hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wahusika wa unyama huo, na haki stahiki itendeke kwa aliedhulumiwa, ikiwa kweli ipo huruma na uchungu wa dhati juu ya jambo hili baya na la aibu sana kwa Taifa..

kuficha ushahidi, kuficha ukweli au kusita kutoa ushirikiono wa taarifa sahihi za uhakika unazo zifahamu kuhusu uzandiki huu dhidi ya binadamu ni kudhulumu, ni kukandamiza haki na stahiki za almaruhum Ally Kibao, na hakika utaulizwa siki ya mwisho mbele za haki..

Once again R.I.P kamanda Ally Kibao 🤭
 
Back
Top Bottom