Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Lucas, Mungu wa kisasi yupo, wanayotenda hawa watu wa "kile chama" ipo siku Mungu wa mbinguni atajibu.
Kumbuka Jehenam inaanzia hapahapa duniani na ubaya utalipwa hapahapa!
 
Back
Top Bottom