Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Afisa habari wa ikulu Lucas Mwashambwa bado hajapata taarifa atujulishe?Wamefikia hatua gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afisa habari wa ikulu Lucas Mwashambwa bado hajapata taarifa atujulishe?Wamefikia hatua gani?
Kaeni kwa kutulia muwe na subira.Afisa habari wa ikulu Lucas Mwashambwa bado hajapata taarifa atujulishe?
Lucas Mwashambwa msemaji wa serikali awape taarifa na ushahidi, anawajua.
Alikuwa mubashara?kwani yeye ndio wa kwanza humu kuweka taarifa?
Wote wanaoleta taarifa ni wenezi wa watoa taarifa hizo? Au imewaminya pabaya taarifa ya polisi?
Sasa nakutaarufu kuwa leo saa nne kamili asubuhi hii, msemaji wa polisi atakuwa mubashara.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Alikuwa mubashara?
Tatizo aliyeuawa siyo ndugu yako ,baba au babu yako.
Ndiyo maana unaleta mzaha kwa mambo ya uhai wa watu.