PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.

Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.

Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.

Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.

View attachment 3351882
ili ijipi aendelee kuchota mabilion na kula na kusaz
 
Huyu hatusumbui. Tutaomba tu Marekani wamalizane nae. Drone moja tu inamaliza kazi.
 
Mbona mapema sana jamani kwanza uchaguzi hauto kuwepo maana hakuna reforms zilizo fanyika hata kidogo
 
WAjitangaze tu kwamba wao ni washindi ,hakuna sababh ya kuenda kwenye uchaguzi wa kihuni,mauaji na utekaji.
 
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.

Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.

Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.

Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.

View attachment 3351882
Awadhi kaa tayari na vifaru vyako! hakuna mtelemko wa mbeya utauona tena!! Hasa wewe !!
 
Mwambieni huyo mwehu No Reforms No Election 🔥!
 
Policcm nani afanye fujo. Nyinyi tunasubiria malipo na kisasi cha Mungu tu. Mtatafutana...
 
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.

Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.

Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.

Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.

View attachment 3351882
Kinachokuja ni nje kabisa ya uwezo wa Polisi ku handle. This time wajue kwamba wanakopelekwa siko. Mwaka huu watageuziana wenyewe kwa wenyewe hiyo mitutu ya bunduki.
Busara ni wao kukaa kimya kabisa kipindi hiki, hizo kauli wanajuvika ubaya tu, na muda ukifika watajikuta wapo wenyewe huku na wao wakilia.
Msipende kuishi kwa mazoea, fungueni akili zenu japo kidogo tu ili muone yajayo
 
Icc inai
Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.

Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.

Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.

Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.

Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.

View attachment 3351882
Icc upepo wake naona unavuma sana, mda mwalim
 
Huyu hatusumbui. Tutaomba tu Marekani wamalizane nae. Drone moja tu inamaliza kazi.
Marekani haiendi hata siku sehemu wasio na maslahi au ambako maslahi yao hayana shida

Rwanda na Burundi waliuana mauaji ya kimbari Marekani hakujali wala kuingilia kati

Kwa taarifa shirika la Marekani lililokuwa likifadhili ugaidi na NGo za kigaidi kuingilia mambo ya ndani ya nchi za Afrika ni USAID

Trump kalivunja hilo shirika la USAID
NGo za Tanzania zinalia njaa

Trump kagoma pesa za Marekani za walipa kodi hataki ziende kufadhili mambo ya kijinga

Kuwa kila nchi itafute yenyewe ufumbuzi wa matatizo yao wasitegemee Marekani tena
 
Afande nani kakwambia atafanya vurugu.

No reform no election, maana yake ni kwamba waumini WA hii slogani hutawaona kwenye kupiga kura.
 
Back
Top Bottom