Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Kila siku Maonyo, waiba kura hawapewi maonyo
No reform no election hutaki usizuie yeyote kupiga kura ni kuvunja katiba ukithubutu kuzuia mtu mwingine kupiga kuraMwambieni huyo mwehu No Reforms No Election 🔥!
Nimewaza sana namna ambavyo je haiwezekani watesi wa taifa wakawa eliminated na drones?Huyu hatusumbui. Tutaomba tu Marekani wamalizane nae. Drone moja tu inamaliza kazi.
Hayo yote ni povu la kipumbavu linalokutoka.Marekani haiendi hata siku sehemu wasio na maslahi au ambako maslahi yao hayana shida
Rwanda na Burundi waliuana mauaji ya kimbari Marekani hakujali wala kuingilia kati
Kwa taarifa shirika la Marekani lililokuwa likifadhili ugaidi na NGo za kigaidi kuingilia mambo ya ndani ya nchi za Afrika ni USAID
Trump kalivunja hilo shirika la USAID
NGo za Tanzania zinalia njaa
Trump kagoma pesa za Marekani za walipa kodi hataki ziende kufadhili mambo ya kijinga
Kuwa kila nchi itafute yenyewe ufumbuzi wa matatizo yao wasitegemee Marekani tena
Wamarekani wana vitega uchumi vyao kibao Tanzania na hakuna mtu anawasumbua .Wasumbue Tanzania kwa lipi ?Hayo yote ni povu la kipumbavu linalokutoka.
Hahitajiki Mmarekani hapa. Tutawakomesha wenyewe hapa hapa.
Kama unadhani hiyo mitutu ya bunduki zetu ndizo mtazitumia kutnyanyasa, anza kufikiri hiyo mitutu ikigeuziwa kwenu.
"Rais Mtarajiwa"; haya siyo maneno sahihi kwa mtu kama wewe, na matarajio ya uongozi ulionao.Policcm nani afanye fujo. Nyinyi tunasubiria malipo na kisasi cha Mungu tu. Mtatafutana...
Hawa polisi wetu wanamaanisha mtu yoyote atayegombea tofauti na ccm ni mfanya fujo.Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Bado huelewi?Wamarekani wana vitega uchumi vyao kibao Tanzania na hakuna mtu anawasumbua .Wasumbue Tanzania kwa lipi ?
Marekani cash is the king
Wanapopata Cash hawasumbui.Ndio maana China hakuna Demokrasia wala vyama vingi lakini Marekani hiongea kwa adabu akiongea na China sababu ana biashara kubwa na China.
Marekani huwa yuko kibiashara zaidi hasa hiki kipindi cha Trump
Mkuu Kalamu umenivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣 hawa binadamu wamenichosha kwa kweli. Kila kunavyokucha afadhali ya jana. Inabidi tumkabidhi Muumba wa vyote, aahughulike nao. Sisi kama sisi tumeahindwa, wao wanalindwa na majeshi acha nasi tulindwe na Mungu wa majeshi."Rais Mtarajiwa"; haya siyo maneno sahihi kwa mtu kama wewe, na matarajio ya uongozi ulionao.
Mungu hawezi kukubali kutupiwa mzigo kama huo.
Hawa hawana majeshi. Majeshi ni ya wananchi.Mkuu Kalamu umenivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣 hawa binadamu wamenichosha kwa kweli. Kila kunavyokucha afadhali ya jana. Inabidi tumkabidhi Muumba wa vyote, aahughulike nao. Sisi kama sisi tumeahindwa, wao wanalindwa na majeshi acha nasi tulindwe na Mungu wa majeshi.
Warrior wa mitandaoni una vituko bwege weweHayo yote ni povu la kipumbavu linalokutoka.
Hahitajiki Mmarekani hapa. Tutawakomesha wenyewe hapa hapa.
Kama unadhani hiyo mitutu ya bunduki zetu ndizo mtazitumia kutnyanyasa, anza kufikiri hiyo mitutu ikigeuziwa kwenu.
Mimi kwenye hiyo video nimefurahishwa na hiyo gari inayokokota mzinga,umenifikirisha sana.Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
No reforms No election.Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Hizo pesa wanazotaka kuzitumia zaidi ya 500 b wazipeleke tu kwingineko.CCM itangazwe imeshinda viti vyote.. maisha ya endelee yaa nini kutisha wananchi