The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
ili ijipi aendelee kuchota mabilion na kula na kusazJeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Huyu hatusumbui. Tutaomba tu Marekani wamalizane nae. Drone moja tu inamaliza kazi.Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Majizi tayari wanakura zaidi ya 13M+Jitangazeni tu kuwa mmeshinda uchaguzi. Kura si mnazo!
Awadhi kaa tayari na vifaru vyako! hakuna mtelemko wa mbeya utauona tena!! Hasa wewe !!Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Mwambieni huyo mwehu No Reforms No Election 🔥!Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Kinachokuja ni nje kabisa ya uwezo wa Polisi ku handle. This time wajue kwamba wanakopelekwa siko. Mwaka huu watageuziana wenyewe kwa wenyewe hiyo mitutu ya bunduki.Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Icc upepo wake naona unavuma sana, mda mwalimJeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu.
Kauli hiyo imetolewa Ijumaa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji, wakati wa sherehe ya kufunga Mafunzo ya Uongozi Mdogo wa Jeshini ngazi ya Sajini (kozi namba 2-2024/2025), yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi.
Awali, Kamandanti wa Shule ya Polisi Tanzania, SACP Ramadhani Mungi, alitoa taarifa kuhusu mafunzo hayo, akibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 2,078 walijiunga na mafunzo hayo Machi 14, 2025, kutoka mikoa na vikosi vyote nchini. Kati yao, wanaume walikuwa 1,704 na wanawake 374.
Katika ripoti yake, SACP Mungi alisema kuwa wanafunzi 2,068 ndio walihitimu rasmi, huku wanafunzi tisa wakiachishwa mafunzo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo utovu wa nidhamu, na mwanafunzi mmoja alifariki dunia kwa ajali ya gari.
Kwa mujibu wa Kamishna Awadhi, wahitimu hao watatumika katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhakikisha kuwa wakati wote wa kampeni, upigaji kura na baada ya uchaguzi, hali ya usalama inabaki kuwa shwari na vyombo vya dola vinaendelea kuwa katikati ya kuhakikisha haki inatendeka bila upendeleo.
View attachment 3351882
Marekani haiendi hata siku sehemu wasio na maslahi au ambako maslahi yao hayana shidaHuyu hatusumbui. Tutaomba tu Marekani wamalizane nae. Drone moja tu inamaliza kazi.