PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwambieni huyo mwehu No Reforms No Election 🔥!
No reform no election hutaki usizuie yeyote kupiga kura ni kuvunja katiba ukithubutu kuzuia mtu mwingine kupiga kura

Ukivunja katiba jiandae kuvunjwa na polisi na jeshi

Kazi yao kulinda katiba isivunjwe na ngedere yeyote awe CCM Chadema au kokote ni kazi ya polisi na Jeshi huapa kulinda katiba

Uchaguzi uko kwenye katiba na kipindi kimetajwa .Hakijatajwa na CCM au Chadema au chama chochote cha siasa.Ni sheria zilizopitishwa na bunge sio chama cha siasa

Vyama vyote vya siasa vinatakiwa kujua hilo

Kuwa katiba sio mali ya chama chochote ni takwa la kisheria .Hata CCM ingesusa kusema Uchaguzi hatuendi Uchaguzi ungefanyika na polisi na jeshi wangedhibiti hata CCM kama wangejaribu kuzuia wanaotaka kuingia uchaguzi wasiingie

Hivyo hakuna chama cha siasa chaweza zuia uchaguzi
 
Kama ninyi wenyewe ndio wavunja sheria nani awasikilize ushahidi huu hapa👇 hata lengo lengo la kuanzishwa kwa jeshi la polisi pia mmelifanya kuwa ni kuiba kura na kupiga na kuteka wapinzani na wanaharakati.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hayo yote ni povu la kipumbavu linalokutoka.
Hahitajiki Mmarekani hapa. Tutawakomesha wenyewe hapa hapa.

Kama unadhani hiyo mitutu ya bunduki zetu ndizo mtazitumia kutnyanyasa, anza kufikiri hiyo mitutu ikigeuziwa kwenu.
 
Wamarekani wana vitega uchumi vyao kibao Tanzania na hakuna mtu anawasumbua .Wasumbue Tanzania kwa lipi ?

Marekani cash is the king

Wanapopata Cash hawasumbui.Ndio maana China hakuna Demokrasia wala vyama vingi lakini Marekani hiongea kwa adabu akiongea na China sababu ana biashara kubwa na China.

Marekani huwa yuko kibiashara zaidi hasa hiki kipindi cha Trump
 
Unasema umeshinda wakati hakuna uliyeshindana nae?
 
sasa hizo helaza uchaguzi si bora mtusambazie nyma za nyati maziwa na mkate siku ya uchaguzi mjitangaze...
 
Policcm nani afanye fujo. Nyinyi tunasubiria malipo na kisasi cha Mungu tu. Mtatafutana...
"Rais Mtarajiwa"; haya siyo maneno sahihi kwa mtu kama wewe, na matarajio ya uongozi ulionao.

Mungu hawezi kukubali kutupiwa mzigo kama huo.

Kwanza kutokana na maandishi yako hapa ni wazi hujui chochote kuhusu hao unaowazungumzia. Unapiga porojo tu!
 
Hawa polisi wetu wanamaanisha mtu yoyote atayegombea tofauti na ccm ni mfanya fujo.
 
Bado huelewi?
Hapa hatahitajika Mmarekani wala nani; na kwa kweli hatuwahitaji.
Hii kazi ni yetu sisi wenyewe.
 
"Rais Mtarajiwa"; haya siyo maneno sahihi kwa mtu kama wewe, na matarajio ya uongozi ulionao.

Mungu hawezi kukubali kutupiwa mzigo kama huo.
Mkuu Kalamu umenivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣 hawa binadamu wamenichosha kwa kweli. Kila kunavyokucha afadhali ya jana. Inabidi tumkabidhi Muumba wa vyote, aahughulike nao. Sisi kama sisi tumeahindwa, wao wanalindwa na majeshi acha nasi tulindwe na Mungu wa majeshi.
 
Hawa hawana majeshi. Majeshi ni ya wananchi.
Siku zote majeshi hayawezi kuwa kinyume na wananchi; na hata yakilazimishwa kuwa kinyume, hayana uwezo wa kushindana na wananchi.
Majeshi ni sehemu ya wananchi.
 
Hayo yote ni povu la kipumbavu linalokutoka.
Hahitajiki Mmarekani hapa. Tutawakomesha wenyewe hapa hapa.

Kama unadhani hiyo mitutu ya bunduki zetu ndizo mtazitumia kutnyanyasa, anza kufikiri hiyo mitutu ikigeuziwa kwenu.
Warrior wa mitandaoni una vituko bwege wewe
 
Mimi kwenye hiyo video nimefurahishwa na hiyo gari inayokokota mzinga,umenifikirisha sana.
 
No reforms No election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…