Source?
Aisee itakuwa upuuzi sanaWakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
KabisaAisee itakuwa upuuzi sana
Absolutely no maridhiano with murderers.Wakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Hapo hakuna akina mbowe ...Wakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Wakiridhiana na wahuni ni heri yao wenyewe. Siye umma hatuko nao. Wananchi tuko peke yetu, hatuna uhusiano na wala hatuwakirishwi na chama chochote. Hatuna msemaji. Sisi ni sisi. Waridhianie wasiridhiane sisi mambo yetu yako pale pale….Wakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Wanajua wakimuachia mapinduz rasmi yanafanyika Siku hiyohiyoWamuachie na Lissu
Naunga mkono hoja!!!..na wakijaribu kurilidhiana wao ndio watakaolipa damu za vijana wetu .tutaenda nao kiulaloulaloWakiridhiana na wahuni ni heri yao wenyewe. Siye umma hatuko nao. Wananchi tuko peke yetu, hatuna uhusiano na wala hatuwakirishwi na chama chochote. Hatuna msemaji. Sisi ni sisi. Waridhianie wasiridhiane sisi mambo yetu yako pale pale….