KIla mtanzania ana husika kwenye maandamano haya.Polisi wote makalio yenu......nasikia vijana wanajipanga tena. CHADEMA haihusiki na maandamano hayo, hii ni hasira ya Vijana
Joto bado ni kali sana, wanavutavuta kamuda kupoe kwanza ndio watamuachia ila haitazidi Christmas. Lissu akitoka leo mchakamchaka unaweza anza upya kabisaWamuachie na Lissu
9/12 tunaliamsha dude siyo LA nchi hiiNYIE wa ukombozi endeleeni tu na harakati zenu.
You can't compromise with a murderer who is killing for leisure.Absolutely no maridhiano with murderers.
Kwani huwa Kesi ya Ugaidi ina dhamana wa mujibu wa sheria za nchi yetuuu.Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Huu mwaka Chadema walipiga chenga ya Mesi kabisaPolisi wote makalio yenu......nasikia vijana wanajipanga tena. CHADEMA haihusiki na maandamano hayo, hii ni hasira ya Vijana
Maandalizi ya Kumwachia LissuJeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Hapana...Wakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya Chai! Politicians...!Hapo hakuna akina mbowe ...
Hakuna Fala hapo
10 November 2025Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
From archive: maktabaThe Tanzania Police Force has granted bail to CHADEMA leaders who were arrested on various charges. They are CHADEMA Deputy chairman, John Heche, Deputy Secretary General, Aman Golugwa, Coastal Zone Party Leader, Boniface Jacob popularly known as 'Boni Yai', and Central Committee member, Godbless Jonathan Lema.
The leaders were released today at Oysterbay Police Station in Dar es Salaam , they were arrested and held at different police stations at different times. This was confirmed by CHADEMA party on their official social media pages.
Also Read : Police: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila and Mnyika should surrender to Police stations
Lissu mtu mbad, achelewi kuamsha popo, this time linaweza funika kabisaJoto bado ni kali sana, wanavutavuta kamuda kupoe kwanza ndio watamuachia ila haitazidi Christmas. Lissu akitoka leo mchakamchaka unaweza anza upya kabisa
Jamani eeeh! Tangu lini Polisi ikawa na akili?Kwani huwa Kesi ya Ugaidi ina dhamana wa mujibu wa sheria za nchi yetuuu.
Eeee Jamhuri ya chama changu cha CCM imekuwaje tenaa
Imekuaje sasa Jumanne Muliro na wenzankoo
Mbona tunazalilisha Jamuhuru.
Simlisema HECHE ANA KESI YA UGAIDI MAENEO.FLANI HUKO DAR