Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Wakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Hao wanasiasa wote wanaotawala na walio katika upinzani wanapaswa kutambua kwamba, wananchi kwasasa wana imani kidogo sana na wanasiasa wa Tanzania.

Na ukiona wananchi wamepoteza imani na wanasiasa na wanaanza kuliimba na kuliamini jeshi lao, ni hatua mbaya mno.

Wanasiasa wote waangalie walipojikwaa na wajisahihishe, waache kiburi.
​
 
Sasa wao hawatendi haki na nyinyi munaharibu miindombinu mukifikiria munawapata wao? Wanaoteseka Bado ni sisi wananchi. Tutumie akili kutatua matatizo na sio hisia
Wewe ukiona maisha ya huku yamekushinda ruksa kurudi kwenu zanzibar sisi hatutaki ngonjera zako wewe tuache na tanganyika yetu na kisasi lazima kilipwe kwenu ipo siku tu
 
Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.

Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Hata mkiwaachia bado haisaidii, kwa sababu hamkupaswa muwakamate, acheni geresha geresha, Samia and your cronies mtoke kwenye illegitimate leadership, hatuwatambui. Mmekataliwa na kila mmoja wa raia wema, SADC wamesema ninyi ni wezi, EAC, EU, UK, USA, AU, mmekataliwa kila mahali.CCM hampo kihalali.
 
Sasa wao hawatendi haki na nyinyi munaharibu miindombinu mukifikiria munawapata wao? Wanaoteseka Bado ni sisi wananchi. Tutumie akili kutatua matatizo na sio hisia
Lini mliacha kuteseka?

Sie wengine hatutumii huo usafiri tunashangaa na kujiuliza serikali inaachaje watu wanateseka vile… Kuweka records sawasawa wana kimara waliandama na fujo zikatokea kabla ya 29/10 kwasababu walishateseka sana, Usitafute excuse kuwa baada ya 29/10 watu wakaanza kuteseka.

Watu wameteseka kwa muda mrefu, mmeteseka kwa muda mrefu..
 
Kwa mauaji yale, hata mje na sarakasi gani, haturidhiani na mtu. Ni lazima tuanze upyaa. Hao mliowaachia hata msijisumbue nao kuwapa hongo.. Sisi hao hawatushawishi kitu. Wala hatuko na hao. Safari hii wananchi tumeamka.
Kila mtu akaridhiane na mkewe na mumewe nyumbani, hatutatambua ridhiano la namna yoyote. Tumepoteza watu wetu na hawawezi kurudi to tell their stories.

Tunahitaji haki itendeke kwa uhai uliopotea , wauaji wawajibishwe watoa oda ya kuua wawajibike.

Jeshi la polisi ndilo lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao liwajibike. Hatujali kuwa muuaji alikuwa kikosi kazi/genge/KMKM/ Raia wa Uganda au popote, Jeshi la polisi lina kesi ya kujibu.

Turidhiane nao sisi tumewakosea nini?
 
Hivi mtu anaweza "kuridhiana" vipi na jambazi, ambaye kafika nyumbani na kuua baadhi ya wana familia na kupora mali; baadae jambazi huyo huyo anarudi kwa aliowafanyia ujambazi wake akitafuta "maridhiano"!

Hii iliwezekana wapi?

Hawa waovu kwa dhamira zao ovu tokea mwanzo kabisa, walikula njama kufanya uovu utakao wabakisha madarakani kwa nguvu, ikiwa ni pamoja na kuua waTanzania

Baada ya kutimiza uovu huo, sasa wanakuja kwa hao hao waliofanyiwa uovu kutaka kuwepo na maridhiano?

Haya maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani!

Wanachoweza kufanya ni kuachia madaraka mara moja; na waTanzania watajuwa nini cha kufanya.

Hakuna kufanya maridhiano na watu waliopanga kwa maksudi kuua watu; halafu baadae waje kutafuta maridhiano.
 
All BS aside, great points man!

Hakuna kabisa maridhiano na watu walioua watoto kinyama namna hii.

Hizi picha, I can’t lie, zimeniliza. I love all kids.

IMG_8637.jpeg

IMG_8626.jpeg

Mtu unampiga risasi mtoto kwa kutumia ma high caliber bullets?

Where is their humanity?

No reconciliation with animals.
 
Hivi mtu anaweza "kuridhiana" vipi na jambazi, ambaye kafika nyumbani na kuua baadhi ya wana familia na kupora mali; baadae jambazi huyo huyo anarudi kwa aliowafanyia ujambazi wake akitafuta "maridhiano"!

Hii iliwezekana wapi?

Hawa waovu kwa dhamira zao ovu tokea mwanzo kabisa, walikula njama kufanya uovu utakao wabakisha madarakani kwa nguvu, ikiwa ni pamoja na kuua waTanzania

Baada ya kutimiza uovu huo, sasa wanakuja kwa hao hao waliofanyiwa uovu kutaka kuwepo na maridhiano?

Haya maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani!

Wanachoweza kufanya ni kuachia madaraka mara moja; na waTanzania watajuwa nini cha kufanya.

Hakuna kufanya maridhiano na watu waliopanga kwa maksudi kuua watu; halafu baadae waje kutafuta maridhiano.
Ndio kabisa, Unaridhiana na Muuaji ana nini chakuweka mezani for bargaining? Ana uhai anaweza rudisha?

No this’s beyond normal, hatumtambui yeyote atakaye kwenda kuridhiana.
 
Back
Top Bottom