Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
NI kosa gani lisilosameheka mkuu? Tusiangalie nyuma twende mbeleWakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
NI kosa gani lisilosameheka mkuu? Tusiangalie nyuma twende mbeleWakikubali maridhiano watakua wameusaliti umma wa watanzania kwa kiasi kikubwa sana. Watanzania waliokufa ni wengi sana
Walishatakiwa mahakama gani? Tanganyika hivi vyuo vikuu vinatusaidia vipi?Tangu lini kesi ya uhaini inakuwa na dhamana?
Moja ya jumbe ya maandamano ni kuachiliwa kina heche nafikiri limefanyiwa kazi, bado LisuKwani huwa Kesi ya Ugaidi ina dhamana wa mujibu wa sheria za nchi yetuuu.
Eeee Jamhuri ya chama changu cha CCM imekuwaje tenaa
Imekuaje sasa Jumanne Muliro na wenzankoo
Mbona tunazalilisha Jamuhuru.
Simlisema HECHE ANA KESI YA UGAIDI MAENEO.FLANI HUKO DAR
Hata wamshikilie maisha yake yote, sisi hatuangalii Lissu wala chama chochote. Msimamo wetu kama wananchi uko palepale. Katiba mpya, uwajibikaji, no more kutekana na kuuana, na tunataka uchaguzi urudiwe tuweze kuchagua viongozi tunaowataka. Hatuna mwanasiasa. Sisi wenyewe tuna akili. Sasa wao wakazane kuwanunua wanasiasa, wakidhani wanasolve kitu. 9.12.2025Lissu wana muachia lini ?
Kosa la mauaji ya halaiki halisameheki duniani na mbinguni.NI kosa gani lisilosameheka mkuu? Tusiangalie nyuma twende mbele
Ma ccm yanafanya kusudi kutupunguza nguvu.. hao chadema wakikubali maridhiano wote m&*% yao.. mimi binafsi sitaki kusikia chochote zaid ya kila aliehusika awajibishweNyinyi CHADEMA mkae mkijua hili ni beef letu sisi wananchi na serikali msiingilie kabisa hayo maridhiano sisi hayatuhusu.Sisi tunataka Samia ajiuzulu kwanza
Nashangaa!!Tangu lini kesi ya uhaini inakuwa na dhamana?
Neno la Mungu linasema tusameheane, si kazi yetu kulipa kisasi.Kosa la mauaji ya halaiki halisameheki duniani na mbinguni.
#free and fair election ndio tibaFanyeni fujo, wizi na kuharibu vitu Kisha lawama pelekeni kwa Raisi kama yeye ndie aliefanya wapumbavu wakubwa . Ujinga wenu unasababisha ugumu wa usafiri na kupanda vitu bei.
Sasa mbona hili joto halioneshi dalili ya kupoa.Joto bado ni kali sana, wanavutavuta kamuda kupoe kwanza ndio watamuachia ila haitazidi Christmas. Lissu akitoka leo mchakamchaka unaweza anza upya kabisa
Kumbe siku hizi kuna dhamana kwenye makosa ya uhaini?Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Anaandika Gobless E. J. Lema kwenye X-Twiiter account yake👇👇Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Kuna makosa yanasameheka lakin si mauaji. Even serikali haisehi murders , unakula cha maishaNI kosa gani lisilosameheka mkuu? Tusiangalie nyuma twende mbele