Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.

Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Sio tuu kuwaachia kwa dhamana wawaachie na waachane na uhuni wao wa mashtaka mchongo kama ilivyokuwa mazoea kwa machawa na chawa wa ccm dhidi ya Wazalendo wa taifa letu pendwa Tanganyika kwani Tanzania imevamiwa na wahuni kwa kivuli cha Tanzania hivi sasa na kipindi kirefu kwa manufaa binafsi ya wahuni!
 
Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.

Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Handshake ndiyo imeanza nini
 
Hujielewi pumbavu kabisa wewe, ujinga wa wananchi au watawala? Mitanzania ni mipumbavu tu kwa ujumla.
Watawala ndio walichoma mwendo Kasi
Hujielewi pumbavu kabisa wewe, ujinga wa wananchi au watawala? Mitanzania ni mipumbavu tu kwa ujumla.
Jifunzeni maandamano kutoka nchi nyengine, maandamano sio kuchoma Mali za umma na Mali binafsi.
 
Fanyeni fujo, wizi na kuharibu vitu Kisha lawama pelekeni kwa Raisi kama yeye ndie aliefanya wapumbavu wakubwa . Ujinga wenu unasababisha ugumu wa usafiri na kupanda vitu bei.
We K nini! Kama hao manyang'au wenzio wangeamua kutenda haki, je haya yangetokea?
 
Watawala ndio walichoma mwendo Kasi

Jifunzeni maandamano kutoka nchi nyengine, maandamano sio kuchoma Mali za umma na Mali binafsi.
Narudia tena mkuu, wewe ni mpumbavu.

Tangu upate akili ulishawahi kuona Tanzania ikaruhusu maandamano, wapi na lini? Unadhani watu hawana madukuduku wanataka serikali iwasikilize?

Watu wana hasira, serikali kuteka na kuuwa raia kisa maoni tu, unadhani nani anafurahi, serikali kufisadi rasilimali, hakuna haki wala usawa kisiasa...

Futseke zako!!
 
Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.

Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Kweli nchi inaendeshwa kihuni huni tu. Mtu anakaa nyumbani anaamua nini kifanyike wapi . Sasa tangu lini kesi ya Uhaini inakuwa na dhamana? Au Heche kabadilishiwa mashtaka? Na lini watawaachia vijana wetu akina Niffer?
 
Hapana...

Ishu sio kukubali au kukataa kukaa mezani na kujadiliana namna njema ya kwenda mbele kama nchi na taifa

Bali ishu iwe ni: Under which Terms and Conditions za kutufanya tuaminiane na kisha tukae mezani kuzungumza..?

Mimi napendekeza terms & conditions chache za kuipa serikali ili kuruhusu reconciliation kufanyika:

1. Kwanza kabisa, ni lazima tukubaliane kuwa kilichofanyika 2019, 2020, 2024 na 2025 hazikuwa chaguzi bali ni uhuni na uchafu mtupu na kwa sababu hiyo, tangu wakati huo tumekuwa tukiongozwa na watu wahuni tu ambao hawakuwahi kuchaguliwa na wananchi..!

2. Chaguzi za 2024 (mitaa & vijiji) na 2025 (madiwani, wabunge na Rais) zifutwe na kurudiwa upya

3. Wote walioathiriwa na chaguzi za miaka hiyo kuanzia 2019 mpaka huu wa 2025 kwa kuuwawa, kufunguliwa kesi za uongo na kufungwa magerezani, walioharibiwa mali zao na walioathiriwa kwa namna hii au ile kwa sababu ya chaguzi watambuliwe na walipwe fidia

4. Kufuta kesi zote za kisiasa with immediate effect na kuwaachia huru wahusika wote

##Ili haya yaweze kufanyika, iundwe Tume huru ya Uchunguzi, usuluhishi, maridhiano na mapatano ili kuchunguza chanzo, wahusika na athari za matukio ya kihalifu yote yaliyofanyika ikiwemo utekaji, utesaji na mauaji yaliyofanyika ktk kipindi cha kuanzia 2016 - 2025

5. Baada ya tume hii kukamilisha kazi yake, wahusika wote waliotenda uhalifu huu wafikishwe kwenye mkono wa sheria na kuhukumiwa huko

6. Tume hii NI LAZIMA ifanye kazi yake kwa ukweli na uwazi huku TV zikirusha vikao/mikutano ya tume hiyo na kila mwananchi mwenye malalamiko asikilizwe na kurekodiwa kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo

NB: Hii ndiyo approach sahihi ya kuzingatiwa ktk kama tunataka taifa lipatane na kuendelea mbele tena. Kama hawatataka njia hiyo, TUENDELEE NA VITA kati ya SERIKALI HII YA SAMIA vs UMMA mwisho tutaona mshindi ni nani. Kwa hiyo, ishu isiwe kukataa tu kwa sbb unakataa!!
Hizo term & conditions hakuna hata 1 serekali itakubali. Pili kwani maridhiano wanatakuwa kufanya na nani? Chadema? Kama ni chadema misimamo ya Lissu sidhani kama atakubali kufanya maridhiano na watu waliomtesa kwa kuwango alichopitia.
Vyama vingine? Haviaminiki kwa wananchi. Ndio waliokubaliana na serekali na ccm kufanya huu uchafu unaoitwa uchaguzi.
Hii ngoma bado mbichi.
 
We K nini! Kama hao manyang'au wenzio wangeamua kutenda haki, je haya yangetokea?
Sasa wao hawatendi haki na nyinyi munaharibu miindombinu mukifikiria munawapata wao? Wanaoteseka Bado ni sisi wananchi. Tutumie akili kutatua matatizo na sio hisia
 
Kuna makosa yanasameheka lakin si mauaji. Even serikali haisehi murders , unakula cha maisha
Mkuu viongozi wa serikali ni binadamu kama sisi nao pia wana mihemko ambayo inasababisha wafanye vitu wasivyotarajia. Ni kama vile tu unakuta watu wanapiga kibaka mpaka wanaua kisa kaiba kuku. Na viongozi ni zao la watu kutoka chini, tabia ni zilezile tu japo wanatakiwa wawe mfano mzuri kwa wanaowaongoza.
 
Back
Top Bottom