Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

All BS aside, great points man!

Hakuna kabisa maridhiano na watu walioua watoto kinyama namna hii.

Hizi picha, I can’t lie, zimeniliza. I love all kids.

View attachment 3500031

View attachment 3500032

Mtu unampiga risasi mtoto kwa kutumia ma high caliber bullets?

Where is their humanity?

No reconciliation with animals.
Next stop: Hawa watu wanaokubali hizi teuzi mpya hawayaoni yote haya?

How low can one stoop to realize they're being used and abused?
Watu wenye elimu ya kutosha kabisa, and beyond, Ph.Ds and more!

Hata historia tu pekee ya heshima iliyowahi kuwa nayo nchi hii; bado haitoshi kabisa kuwastua hawa watu kukumbuka utu wao ulipo?

Mimi ningependa kumtumia Dorothy Gwajima na huyo mwenzake sijui Kakurwa (Bashiru) picha kama hizi na nyinginezo iwe kumbukumbu katika utumishi wao wanaotarajia kuwafanyia waTanzania.

Hawa 'collaborators' inafaa waanze kulipia gharama ya kushirikiana na waovu.
 
R.I.P Tanzanian who died in 29 october.we tried so much but our efforts were in vain.But we are GEN-Z we want change in our country.we will not give up or surrender the revolution has already started and it has to be completed.

kijana acha shobo kwa lugha za kigeni
 
sio mda mrefu vijana wapumbavu wataanza kuwatukana viongozi wa CHadema
 
Back
Top Bottom