Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.

Viongozi hao wameachiliwa leo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, baada ya kukamatwa na kushikiliwa katika vituo tofauti vya polisi kwa nyakati tofauti. Taarifa hiyo imetolewa na CHADEMA wenyewe katika kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
wawe makini wasje watafuatwa usku wauwawe
 
Ni kuchezeana akili tu
 
Polisi wote makalio yenu......nasikia vijana wanajipanga tena. CHADEMA haihusiki na maandamano hayo, hii ni hasira ya Vijana
Fanyeni fujo, wizi na kuharibu vitu Kisha lawama pelekeni kwa Raisi kama yeye ndie aliefanya wapumbavu wakubwa . Ujinga wenu unasababisha ugumu wa usafiri na kupanda vitu bei.
 
Back
Top Bottom