Politics of McCarthyism: Siasa anazozitumia Paul Makoda kuwachafua wenzake, kujipendekeza kwa Rais Samia, na kujipa uhalali mbele ya Watanzania

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist ambao ilikuwa sumu kwa Wamarekani. Akijua kuwa wamarekani hawapendi Ukomunist, basi alitumia ukomunist kuwabambikia maasimu wake wa kisiasa kuwa ndio vinara wa Ukomunist na hivyo kuchukiwa na waamaerika wenzake.

MAKONDA SASA; Anatumia njia hiyo hiyo kuwachafua wenzake ikiwa ni njia ya kujipendekeza kwa Mteule wake samia ili ajipatie uhalali wa kisiasa mbele ya watanzania.
1. Aliwachafua akina Mbowe kuwa wanauza madwa ya kulevya ili magufuli ampende zaidi
2. Aliwacxhafua akina Lowasa kuwa wametelekeza watoto na kuigiza wanawake waliojitokeza kudai kuwa Lowasa ni baba yao
3. Juzi amewalenga wanasiasa wenzake ndani ya CCM especialy mawaziri eti wanamtukana Samia mitandaoni
4. Kuingilia mamlaka ya mahakama eti kutatua migogogoro ya ardhi
5. etc etc ...ongezea

Hiyo ndiyo inaitwa polics of MacCathyism

msikilize SK media akifafanua politics of maccathyism dakika ya 3 na kuendelea

full video

View: https://youtu.be/K-qL8ZFGAr8
 
Wakati mkiendelea kumjadili Makonda wenzenu wapo kwenye maandalizi ya uchaguzi serikali za mitaa wakati mkijadili makonda mnasau vita ya katiba mpya endeleeni na makonda mkija kushtuka 2025 hii kitu kizito mnabaki mayowr tumeibiwaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…