Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
..waTz hatupaswi kumsifia mtu aliyetoa roho za askari wetu ktk vita vya Uganda.
..Ndiyo maana vijana wa kiTz mnadharaulika kwasababu mnakurupuka kujadili mambo mazito lakini hamsomi.
Heshima Mkuu, JokaKuu .
Hapo kwenye red ndipo mzizi wa tatizo lilipo, tukifaulu katika hili basi mengine yoote yatakuwa rahisi mno.
Tuna-fail kwasababu ya kupuuzia na kukosa maarifa.Hatusomi, hatuwafuati wanaohusika na matukio halisi, hatutafiti nk.Mtu wa hivi lazima awe mshabiki, mnazi, maamuma nk.
Vijana wanaishi kwenye tetesi, fununu halafu wanaita elimu, so sad.
The greatest knowledge is a collection of books.No research no right to speak.If you dont have enough information about something in discussion dont comment anything about that.