God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Nin shida mkuu halta akitokea mtu akiazipigania hizi mali si watamuua tuma kama akina thomas sankara na majuzi gaddaf!Hatuibiwi,kuna MaPimbi ambao ni watu miongoni mwetu wanaowapa kibali hao wezi
Halaf utaskia inapigania eti gaddaf alikua dikteta? Okay acha basi miarabu ifaidi ilichokua inakipigania sasa na sijui itafanyaje coz inaigana yenyewe kwa yenyewe tuu.